Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,686
- 25,872
Jamani si niko kutafuta na wewe nimekuambia? njoo chumbani tuongee vizuri huku sebuleni hapafai kuongelea hayaNdio, mana amenitelekeza sijui mwezi wa ngapi sasa huu sipewi huduma wala yeye simuoni nyumbani