Malaika AD
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 496
- 316
Hvi ukawa wameishaonana na jk?
Kawapa rufaa waende kwa obama
Hvi ukawa wameishaonana na jk?
Hata me kuna mtu ananisaidia kwenye project yangu flani hivi sema wengine ndo majanga tu
We naaae mpanaaaaa! Wallet ya watu8 wewe inakuwashia nini? Ya mange $2000 tu! Hahaa! Mi hata chinese version kwangu poa tuuuu! Msaada hauna risiti, uwongo watu 8! Hio list noiompa Tpla balaaa! Hushngai haingii humu siku hizi.? Bills bills bills! Chezea kuoa cyber wife nachat siku nzima! Bado uncle Zinc nae, huyu ataleta breast milk pump, automatic full set! Vin D sababu ya BRIHTER FUTURE anakiwa baba wa ubatizo, ili amkumbuke God son wake in his LARGER THAN LIFE POLITICAL CAREER! 2025 Vin D will be only next to the president! Lazima kupredict future! Na nimeona nichukue. Optimistic postion! Uncle mwingine Von Mo, mtu mzito sanaa wa taxes huyuu! By 2030 he might be the Overall tax comissioner in Tz! For now Von Mo ukileta baby rocker automatic sio mbayaa! You can afford it tax is a booming economic sector! List ya ma uncle inaendlea!hahahaha hivi ya mange dola ngapi vile unataka kumakamua watu8 bureeee afilisi duka kisa mwambie enterpreneur wako tola akaoda kwa mange
kumbe hutaki hata kujuana, wataka mtu aanze tu kama kuku lol
hahaha nitakuanza mimi siku nikitaka tiba lol nakuweka wa akiba dokta
kama kujuana kwa issue muhimu ruksa
We naaae mpanaaaaa! Wallet ya watu8 wewe inakuwashia nini? Ya mange $2000 tu! Hahaa! Mi hata chinese version kwangu poa tuuuu! Msaada hauna risiti, uwongo watu 8! Hio list noiompa Tpla balaaa! Hushngai haingii humu siku hizi.? Bills bills bills! Chezea kuoa cyber wife nachat siku nzima! Bado uncle Zinc nae, huyu ataleta breast milk pump, automatic full set! Vin D sababu ya BRIHTER FUTURE anakiwa baba wa ubatizo, ili amkumbuke God son wake in his LARGER THAN LIFE POLITICAL CAREER! 2025 Vin D will be only next to the president! Lazima kupredict future! Na nimeona nichukue. Optimistic postion! Uncle mwingine Von Mo, mtu mzito sanaa wa taxes huyuu! By 2030 he might be the Overall tax comissioner in Tz! For now Von Mo ukileta baby rocker automatic sio mbayaa! You can afford it tax is a booming economic sector! List ya ma uncle inaendlea!
Alaaaa kumbe hayo tu!basi sawa ngoja nijipange na namba 1 maana hilo ndilo linalonihusu!Ila kama kunavingine vinavyohusiana na matumizi ya Automatic Teiller Machine, itakuwa powa kama utaviorodhesha ili nijipange kutoka nduki au kuyavulia maji nguo ili niyaoge.
Ila kweli aisee. Yaani id hujawahi kuiona wala kuinotice. Anaanza hi? Ukijibu hi, anauliza uko wapi? Ukiona hujajibiwa ujue ilikuwa ujibiwe niko maliwatoni! Khaaa!
babu ujue bado nina kamba mguuni itabidi unipe darasa matumizi mengine naona kila anakuja anatongoza tu
ukali hauliwi bi mkubwa...
Ila kweli aisee. Yaani id hujawahi kuiona wala kuinotice. Anaanza hi? Ukijibu hi, anauliza uko wapi? Ukiona hujajibiwa ujue ilikuwa ujibiwe niko maliwatoni! Khaaa!
Eeeeeeeeeeh! SAY WHAAAAAAAT? wewe ndo umechanganya madawa, ile interview ilikuwa WAY BACK WHEN wakati bado mgeni mgeni! Kuna uzi mmoja tulitoana roho juu ya VIN D hulaaaaaa! Ilikuwa thrwad ya Morg nampenda VIN Diesel! Na HOE alikuwpo she took back her words na kukubali MGIRIKI nomaaa!, Lara 1 nilikiwepo, Vaslay alikwepo, Valntinaa kitu kam hicho, Charming lady, na wengin big names kibaoooooo! Hadi akabatizwa jina la MSWATI! Yaaani! Vin D was at his pik! Mi ndo nikaachana nae rasmiiii siku hio baada ya michepuko kunitoa mdimaa!hahahahahaha vin angekuwa habare ya mjini Heaven on Earth asingemkana kwenye ile interview uliomfanyia akakiri wazi watu8 ndo anaemkosha hahaha ilimuuma mpaka akaanza kula gizani new id's twende loooh me ndo mana nili mkwepa enzi zake zilikwisha lol ila akipata ubunge hawezi kuniacha ata ukuu wa wilaya
This is a new discovery to me...
I wish I had time and whatever it takes to effectively make use of my PM...
Sina hakika kama nina zaidi ya ukurusa mmoja wa PM toka nimeingia kwenye huu mtandao....
Ila kwa vile maisha yangu na yenu ni kama maji na mafuta....naomba niishie hapa kwani darasa langu ni kama chekechea!
Hapa kinaendelea kitu gani tena yarabi toba??
aiseeeeeeeee ila hata mimi kuna baadhi ya mambo nimefaidika na pm nikitatizwa na kitu najua nani anaweza kunipa jawabu muafaka ila kuna wale wajukuu zako wa kiume wanataka kuwatia watu majaribu ndo hao haswa nimewalenga
urafiki wenye manufaa ruksa ila nikiona una dalili za teamB nakuchinjia baharini
Ila kweli aisee. Yaani id hujawahi kuiona wala kuinotice. Anaanza hi? Ukijibu hi, anauliza uko wapi? Ukiona hujajibiwa ujue ilikuwa ujibiwe niko maliwatoni! Khaaa!