Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

ndio maana sijawahi ku pm munu humu ndani
 
Escapism
ɪˈskeɪpɪz(&#601😉m,ɛ-/Submit
noun
the tendency to seek distraction and relief from unpleasant realities, especially by seeking entertainment or engaging in fantasy.
"virtual reality offers a form of escapism"
synonyms: fantasy, fantasizing, dreaming, daydreaming, daydreams, reverie, romance, illusion(s), fancy, imagination, flight(s) of fancy, pipe dreams, castles in the air, castles in Spain, wishful thinking, wool-gathering; informalpie in the sky
"musicals always do well in a recession because people want escapism"
 
Mi nadhani ndo madhara ya kutumia avatar zisizojulikana zitokako,nyingine za majini mahaba kila anayeliona anatamani kulitongoza,mwenye nayo anaboreka missNEDDDY badilisha hiyo avatar atuona matokeo yake

nitabadili usijali ila siamini mambo ya majini
 
Last edited by a moderator:
Ok,kwa hiyo mtu akikupa hi,unataka atiririke,si hapo ndo atakupotezea muda zaidi?

atirike waweza kuta ana idea nzuri ya kushare nawe ukamchinjia baharini bila kujua
 
Alaaaa kumbe hayo tu!basi sawa ngoja nijipange na namba 1 maana hilo ndilo linalonihusu!Ila kama kunavingine vinavyohusiana na matumizi ya Automatic Teiller Machine, itakuwa powa kama utaviorodhesha ili nijipange kutoka nduki au kuyavulia maji nguo ili niyaoge.
 
una kiinglishi kigumu...

Back
Top Bottom