Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

hiyo laki tano inakutoa kabisa, nunua kopo moja la carolight, mafuta ya nazi, nenda karume kuna vimini, vitopu na leggings za bei rahisi, nunua perfume ya bei ndogo, halafu kila ikifika jioni tafuta baa yeyote kubwa ingia na uchukue kinywaji chako anza kunywa, jitahidi kutabasamu pale unaposalimiwa na wateja wengine na uwe unatoa ushirikiano kwa kile wanachokuambia, baada ya mwezi hiyo laki tano itakua imejizalisha na kuwa millioni tano!
nakutakia kilala heri usisahau kuleta mrejesho!
Akili ya mende hii, pumbavu sana!
 
Bila shaka wewe ni mzoefu wa kuliwa tigo unadhani wanaume wote wanajiuza kama wewe? La hasha acha ushoga hata mungu hapendi. Halafu jaribu kutoa ushauri unaojenga siyo unabomos
 
KWANI hii tabia ya kujiuza HUJAACHA? UNATAKA NA MTanzania mwingine aolewe kama wewe? ni DHAMBI UJUE!!
nimekuwa nikijiuza kwa mama yako huu mwaka wa 45 na bado analilia kila siku, anza naye wazungu wanaema charity bigins at home!
 
Kama uko mjin,nunua photo printer ndgo,uwe unasafisha picha na unapiga paspot
 
Umepata wapi laki tano, nyingi sana kwa sasa wakati wakubwa hawana posho za vikao na wafanyabiashara wakwepa kodi inabidi waishi kwa haki. Jitunze uwe na hekima maana baadhi ya biashara zitadorola na mpya zitaibuka ila chakula ndio biashara isiathiriwa na mihemko maana tumbo madai yake lazima yaitikwe
 
Kwa huo mtaji nakushauri, endelea kupiga kazi uukusanye ukue zaidi la sivyo utaibiwa bure ndugu alafu utajuta sana, hata m pesa na tigo pesa japokua ndio zipo systematic na organized kuliko kazi nyingine za mitaji midogo still hutaweza ku track na utakua unaibiwa, au umuombe mtu mtaani kwenu mwenye duka uingie nae mkataba fulani umpe hiyo biashara ya m pesa alafu anakua anakulipa amount fulani constant kwa mwezi hata kama ni 10,000its better than bank interess and far better than nothing
 
hiyo laki tano inakutoa kabisa, nunua kopo moja la carolight, mafuta ya nazi, nenda karume kuna vimini, vitopu na leggings za bei rahisi, nunua perfume ya bei ndogo, halafu kila ikifika jioni tafuta baa yeyote kubwa ingia na uchukue kinywaji chako anza kunywa, jitahidi kutabasamu pale unaposalimiwa na wateja wengine na uwe unatoa ushirikiano kwa kile wanachokuambia, baada ya mwezi hiyo laki tano itakua imejizalisha na kuwa millioni tano!
nakutakia kilala heri usisahau kuleta mrejesho!

Hahahahah shenzi sana.
 
Hivi photo printer huaga shngp mkuu na upatikanaji wake vp

Zinapatikana kariakoo mtaa wa. Congo,ukishuka congo uwe unaelekea mnaz1 utaona maduka ya electronics kulia na kushoto

Ndogo canon selphy 1000 zinauzwa laki3 kamil mpaka na nusu hapo ni maongezi yako tu,na hapo unapewa kila kitu.ila kma unataka printer tu utapata kwa laki2 na 60 .

Kubwa ile epson l800 n laki 7-8.kwakuanzia unaweza anza na hii ndogo af iyo ya juu nunua camera,na paspot zinalipa sana kuliko pic za kawaida japo zote zinalipa.

Ukiwa siriouz unamake pesa mkuu.mimi nmenunua jmos ilopita lkn leo nna ef20
 
Mimi nafanya biashara ya Mult level Marketing nilianza na mtaji wa laki 280 inanilipa nanaendelea vizuri kwa sasa. Nakushauri na wewe karibu laki tatu inaweza kuwa mtaji mkubwa sana kwa biashara hii. 0763797853 whatsap na live calls

MMMMHH:angry: NYIE WATU WA FOREVER, GNLD,RIFARO, NEPSTAR N.K SIO WATU WA KUWAAMINI BIASHARA YENUU NI VERY HARD AND TOUGH SANA... INAHITAJI CONVINCING POWER YA KUTOSHA... MMENIPOTEZEA MUDA SANA PASI NA KUAMBULIA KITU....

reimah usiende kwa hawa watu wa multi level marketing utakuja jutia hapo baadae
 
Last edited by a moderator:
Joseverest unakata tamaa sana nadhani kama duniani watu tungekuwa kama wewe basi hakuna ambachokingeendelea
 
Back
Top Bottom