Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Biashara ya matunda kama machungwa na mengineyo kama eneo limechangamka itakutoa fasta pia
 
vp biashara ya boda boda jaman? maana nataka kununua bodaboda kwa ajiri ya biashara
 
kaka kama bodaboda utaiendesha mwenyewe sawa! lakini kama utampa mtu ilo nijanga la kitaifa so nakushauri tu fanya kautafiti maanana hawa vijana wengi waaribifu na si waaminifu
 
Hey guys,

Iam new to this society but nimekua nikiona wa2 mnapeana ushauri, i liked and told my self 'kwa nn nisiombe ushauri.'

Am 22 yrs male, just got a job although it sucks. Natamani kujiendeleza nitoke hapa na kupiga hatua nyingine, niko kazini mwezi wa 6 now nimejaribu dunduliza pesa and nimefikisha laki 5 but then nikajiuliza 'natunza pesa then nifanyie nini?' inachekesha ila kiufupi sina plan na ni mgeni katika maswala ya ujasiriamali, ningeomba ushauri wenu nijue biashara gani naweza kuifanya isiniharibie kazi yangu ya sasa na iniingizie kipato cha haraka.

Thanks in advance
 
Mkuu hapo inategemeana
1: unakazi gani saiv uko
2: uko mjin au kijijini ,~~~~~~~~~~lakin kama uko kijijini fuga kuku wa kienyeji,

Kama uko mjin
1: fungua biashara ya kibenki , tigopesa au M~pesa ,
2: ukianza kuuza matunda sio mbaya maana inalipa na unacheza na akili maana huaga mali oza , position nzuri itakufanya kupata Wateja wengi zaidi

Mkuu, Ridisha Wateja wako pamoja na KAULI NZURI
 
Niko mjini mkuu hizi biashara za kibenki mtaji wake hua ni bei gani kwa mtandao?
 
hiyo laki tano inakutoa kabisa, nunua kopo moja la carolight, mafuta ya nazi, nenda karume kuna vimini, vitopu na leggings za bei rahisi, nunua perfume ya bei ndogo, halafu kila ikifika jioni tafuta baa yeyote kubwa ingia na uchukue kinywaji chako anza kunywa, jitahidi kutabasamu pale unaposalimiwa na wateja wengine na uwe unatoa ushirikiano kwa kile wanachokuambia, baada ya mwezi hiyo laki tano itakua imejizalisha na kuwa millioni tano!
nakutakia kilala heri usisahau kuleta mrejesho!
 
kama upo town fungua genge uuze vitu kama nyanya, hoho, ndizi, n.k, tafuta sehemu nzuri

Ok ndugu yangu japo nilifikiri hilo lakini nahitaji biashara nitayowez kuitrack kwa wepesi maana ajira yangu inanihitaji kila siku kwa masaa 14 kasoro j2 na kaZ za genge nikahisi itakuw vgumu kupata mtu nitayewez kumtrace
 
Wew siyo mwaka wa kwanza kweli? Ukute boom limetema sasa unaanza kuipigia biashara.
 
hiyo laki tano inakutoa kabisa, nunua kopo moja la carolight, mafuta ya nazi, nenda karume kuna vimini, vitopu na leggings za bei rahisi, nunua perfume ya bei ndogo, halafu kila ikifika jioni tafuta baa yeyote kubwa ingia na uchukue kinywaji chako anza kunywa, jitahidi kutabasamu pale unaposalimiwa na wateja wengine na uwe unatoa ushirikiano kwa kile wanachokuambia, baada ya mwezi hiyo laki tano itakua imejizalisha na kuwa millioni tano!
nakutakia kilala heri usisahau kuleta mrejesho!

KWANI hii tabia ya kujiuza HUJAACHA? UNATAKA NA MTanzania mwingine aolewe kama wewe? ni DHAMBI UJUE!!
 
hiyo laki tano inakutoa kabisa, nunua kopo moja la carolight, mafuta ya nazi, nenda karume kuna vimini, vitopu na leggings za bei rahisi, nunua perfume ya bei ndogo, halafu kila ikifika jioni tafuta baa yeyote kubwa ingia na uchukue kinywaji chako anza kunywa, jitahidi kutabasamu pale unaposalimiwa na wateja wengine na uwe unatoa ushirikiano kwa kile wanachokuambia, baada ya mwezi hiyo laki tano itakua imejizalisha na kuwa millioni tano!
nakutakia kilala heri usisahau kuleta mrejesho!

una dhambi ww
 
Mr kayaman from gwantaMan
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom