katima
Senior Member
- Aug 22, 2012
- 104
- 58
xfactorNaanza kwa salamu#
Assalaam aleykum na bwana yesu Asifiwe
Wakubwa shikamoni
Wa lika langu heshima yenu.
Mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 24 nafanya kazi katika kampuni ya mawasiliano.....Tz Leo nikiwa nasoma #Thread ya mtu muhimu sana @ndg.mwasaremba#nimeisoma mwanzo mwisho na nimeelewa na kuwa interested. Namshukru sana kwa kuwa na moyo wa kipekee mno mtu smart mzalendo... @ndg.mwasaremba nina hitaji fanya biashara ya simu, laptop na Tv ila sijui pa kuanzia. Naomba niungwe kwa group la whatsapp..#0783572063 xfactor