Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,587
Mtalaamu wa cost analysis atuongezee uelewa hapa juu ya gharama za kununua mahindi na kuyapeleka kwenye mashine ya kusaga. Gharama za Kuyakoboa, gharama za mashine ya kufungasha na vifungashio pia, gharama za usambazaji, gharama za vibarua wasiozidi watano, na gharama zingine pia. KARIBUNI