Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Typo vzur mpka kero yan tunashea ma experience Na idea nying kama pasi za carrick pale kweny dimba yan

Hahahaha!! Bas ngoja nimsubir admn aniunge nami nijielimishe.......

Ntuzu pita huku upatemo maarifa ya bure haswaaa
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana @Ndg.MWASALEMBA kwa thread nzuri na asante sana kwa maelezo yote, xfactor hope umeona pm yangu.

Bila shaka utakuwa umesha ingia kundini, kazi Kwako sasa. Ila usiwe kimya ukiingia huko, funguka vya kutosha kama mwenye thread
 
Last edited by a moderator:
Nimependa mijadala yenu ya business ndg zangu, nadha hakuna ninaemfaham kati yenu lakin mwaweza kuwa ndg zang, naomba kujiunga km mtaridhika kuwa nami kwa 0713 649466
 
Mkuu nimekuwa very impressed na motivated na huu UZI aisee, ni jana tu nilikuwa najaribu kupitiapitia ktk mtandao wa ALIBABA na nikaona kweli mtu unaweza anza kwa kamtaji kako kidogo na baadae ukawa mdau mkubwa sana.
Ingawa bado nina mashaka ya kukutana na matapeli na pia sijajua gharama ya usafirishaji mf. camera zenye jumla ya Tshs 1,000,000/=
 
Mkuu nimekuwa very impressed na motivated na huu UZI aisee, ni jana tu nilikuwa najaribu kupitiapitia ktk mtandao wa ALIBABA na nikaona kweli mtu unaweza anza kwa kamtaji kako kidogo na baadae ukawa mdau mkubwa sana.
Ingawa bado nina mashaka ya kukutana na matapeli na pia sijajua gharama ya usafirishaji mf. camera zenye jumla ya Tshs 1,000,000/=

hahaha! safiii...boss toka nimekuwa naupendaga sana mfano wa dirisha katika nyumba,haswaaa pale inapotekeaga bin-Adam anapokuwa na hofu juu ya watu na mazingira yake ya kazi au shughuli za kila siku,kama kanisani kuna matapeli,kama misikitini kuna matapeli,itakuaje katika soko la wasaka pesa 'MONEY ORIENTED PLACE',lazima wajae,kikubwa juu ya alibaba tumezungumza sana namna sahihi kama angalizo la kupishana na matapeli,pitia huu uzi vema utakutana na mahala nisha zungumzia jinsi ya kumtambua supplier sahihi,vice versa utakuwa umepishana na matapeli,au kwa ufupi ingia kwa io group uliza wadau wapo nondo watakueleza namba ya kupishana na tapeli.

Mfano wa dirisha;

Lengo kuu kama SIO rasmi la dirisha ndani ya nyumba ni mbili {1}kupitisha mwanga {2}kupitisha hewa
lakini dirisha lililowazi tu bila ukingo wowote basi hapana shaka ya kwama inzi zitapita,mbu zitapita,vumbi itapita,wezi wtapia n.k wakati hivyo vyote si lengo la DIRISHA, sasa kupishana na hivyo waweza weka nyavu,kioo,nondo n.k ndivyo alibaba nao wameweka nondo,vioo,nyavu n.k kupishana na matapeli,ingia kwa group boss kazi,watakueleza yooote na wewe lakini waeleze ujuayo maana kule ni uwanja wa kufundishana sio kufundishwa.

Huyu nafaham hili na yule anafaham lile...!

Aksante.
 
Naanza kwa salamu#
Assalaam aleykum na bwana yesu Asifiwe
Wakubwa shikamoni
Wa lika langu heshima yenu.
Mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 24 nafanya kazi katika kampuni ya mawasiliano.....Tz Leo nikiwa nasoma #Thread ya mtu muhimu sana @ndg.mwasaremba#nimeisoma mwanzo mwisho na nimeelewa na kuwa interested. Namshukru sana kwa kuwa na moyo wa kipekee mno mtu smart mzalendo... @ndg.mwasaremba nina hitaji fanya biashara ya simu, laptop na Tv ila sijui pa kuanzia. Naomba niungwe kwa group la whatsapp..#0783572063 xfactor
 
Wakuu habari zenu, naomba kwa wale ambao wanahitaji kujiunga Na group mtume namba zenu pm (kwa ambao hamjanitumia), usiweke kwenye uzi namba yako maana inakuwa ngumu kwangu kuiona sababu siingii Mara kwa Mara kwenye Huu uzi. Pm inakuwa rahisi sababu naiona pindi ukituma

Pia kama kuna ambaye katuma namba pm Lakini bado hajaunganishwa tafadhali naomba unitumie tena au pengine umetuma namba ambayo haina whatsap

Ahsante Na karibuni tusaidiane kujikwamua
 
Back
Top Bottom