Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Habari,

Wale wajasiliamali na wengine wenye idea za biashara, tusaidiane hapa! Nina kiasi cha fedha taslimu elfu 50 za Kitanzania... ambayo ni mtaji wangu..

Je nifanye kitu gani au biashara gani itakayoniingizia faida japo kwa kiasi chake?! Maeneo niliyopo ni ya watu wengi especially wanafunzi.

Tusaidiane mawazo, Me na imani tunaweza na hata mbuyu ulianza kama mchicha!
 
Kama upo D'salaam tembelea ilala sokoni nunua mitumba utembeze nakuhakikishia shilingi itazaa shilingi bidii yako tu.
 
Niko dar kwa hiyo hela naweza fanya biashara gani?
Mpendwa ! jaribu hii nimeikuta hapa JF..


Wanted: Distributors of Zantel Airtime and Agents to serve the Distributors
Distributors are needed to distribute Zantel Airtme all over Tanzania. Capital needed for this business is TZS 76,500. No need to have an office or footing other business costs. Your mobile phone is your office. The business has a potential to earn you more than TZS 1 Million per month through weekly and monthly payments you will be getting while doing this business.

For agents, you need to have or rent an office which can house at least 60 chairs and tables for training of Distributors in your area and an office space to sell Distributors’ Starter Kits and Zantel services.

To open this center, the minimum Starter kits you will have to start with is 22 if you are based in Dar es Salaam and 50 if you are based in up-countries. You will be buying these starter kits at wholesale price and selling them to Distributors at retail price.

For more details, visit our office located at Makumbusho Bus Terminal & Shopping Complex, Block A, First Floor, Room No. FF-04 if you are here in Dar es Salaam or call 0772977330 or email me at kalutajr@gmail.com if you are based in up-countries.​
 
Njoo ununue waleti za kike z culture kumi kwa bei ya jumla elfu 11,000 nenda kawauzie wanafunzi rejareja kipchi kimoja 15,000 mpaka 18,000 kwa kuvicheki zaidi tembelea page yetu ya facebook ya Free slave curio shop
 
Tafuta mtu mwaminifu kijijini akununulie kuku vijijini uzipokee mjini na utafute tenda hotelini, au kuwa ajenti wakulangua mboga za majani na uzisambaze kwawalaji, mtaji utakuwa kama utakuwa si mfujaji!!
 
mkuu ukitaka kutoka kirahisi fanya biashara ambazo ni luxurias kwa watu,kama chaja,headphone,makava ya simu au memory card,zinalipa sana,unanua moja kwa 800 had 1200 lakn utauza had 3000 au na zaid,zinawateja weng sana.au uza CD unaenda kununua kariakoo moja 700 au 1000 halafu unanua makasha kwa 200,utauza kuanzia 4000 hadi 6000 kwa CD moja,biashara hii mm imenifanya nijenge nyumba ya mamilion ya fedha na kuish ninavyotaka hapa dar
 
Kama wewe si sharobaro unaweza kuanza na biashara ya kuuza change kwenye vituo vya mabasi/dala dala...kwa mtaji wa 150,000 ukiwa na vijana waaminifu kila route inaweza kukuinulia mtaji kidogo. Sanjari na hii wakati inaendelea unaweza kuanzisha vibanda lishe kwenye maeneo hayo tajwa ambapo utazidi kutunisha mfuko....

Baada ya mwaka utakuwa umeshazoeleka na wakati huo mfuko utakuwa umetuna so unaweza kuanzisha uwakala wa kutoa na kutuma pesa kwa mitandao ya simu. Nadhani inaweza kukusaidia hii!
 
mkuu ukitaka kutoka kirahisi fanya biashara ambazo ni luxurias kwa watu,kama chaja,headphone,makava ya simu au memory card,zinalipa sana,unanua moja kwa 800 had 1200 lakn utauza had 3000 au na zaid,zinawateja weng sana.au uza CD unaenda kununua kariakoo moja 700 au 1000 halafu unanua makasha kwa 200,utauza kuanzia 4000 hadi 6000 kwa CD moja,biashara hii mm imenifanya nijenge nyumba ya mamilion ya fedha na kuish ninavyotaka hapa dar
Aisee
we ni noma
 
Mpole mimi

Pia waweza fanya biashara ya kuuza koni pamoja na lamba lamba zile za azam

Wateja wakubwa wa hii bidhaa ni wanafunzi hasa wa shule za msingi. Hivyo itabidi ufanyie biashara karibu/ eneo la shule

Na ni biashara isiyo na hasara
 
Back
Top Bottom