BUSINESS IDEAS ACADEMY
Member
- Feb 1, 2025
- 31
- 44
ushawahi kufuga?Huo mfano wa picha ya mbuzi na kiatu, mzuri sana aisee, nimeupenda kwa kweli!!
Ila mkuu, tuendelee kuzitafuta hela mpaka ifike stage tununue vyote, mbuzi na viatu!
Kweli mkuu. Ila sasa kama unatafuta pesa ili uvae shati moha pesa unatafuta yanini sasa mkuu?Tunakuwa Maskini kwa sababu ya kuwekeza kwenye vitu ambavyo havina faida
Wakinga wanafanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya Pesa.
Mtu anavaa nguo Moja lakini anawekeza kwenye biashara. Utasikia sina Hela ya kula kumbe kuna sehemu kawekeza hela yake.
Ukweli ni kwamba bila kujitoa Huwezi kuwekeza. Endelea Kuwekeza kwenye muonekano utawakumbuka BUSINESS IDEAS ACADEMY.
Wakati unafuga nywele wenzako wanafuga Kuku, bata, mbuzi na ng'ombe.
View attachment 3297934
Unapanda maua ya mapambo wenzako tunapanda Mboga Mboga
Anza leo kuwekeza hata kwenye maarifa:
View attachment 3297931
Kujipatia kitabu cha Mawazo 112 ya biashara unaweza kutufuta whatsapp: 0612607426
Ni kweli mkuu, nimekaa kule kwako najua mitindo yao ya maisha na uchumi.Asikudanganye hao wakinga kwao wameacha mashamba ya miti iendelee kukua huku mjini wanauza karanga na tuduka tudogo tudogo sasa subiria baada ya miaka kumi,,
Kweli mkuu,uwe na shati Moja mpaka unapewa jina dukani kwa mshati wa bluu,kijani,nyekundu nk!Huo mfano wa picha ya mbuzi na kiatu, mzuri sana aisee, nimeupenda kwa kweli!!
Ila mkuu, tuendelee kuzitafuta hela mpaka ifike stage tununue vyote, mbuzi na viatu!
Mwisho wa kuwa na hizo pesa ni nini? Huo ni ushamba. Njombe ni washamba, eti mwanamke ana 500M bado anauza mboga sokoni, hiyo ni akili au matope? Wakinga pesa zao za kishirikina siyo wa kutolea mfano. Km huwezi kuvaa vizuri, kula vizuri, kuishi pazuri, kumiliki mali za kisasa huo siyo utajiri, utakuwa ni uchawiTunakuwa Maskini kwa sababu ya kuwekeza kwenye vitu ambavyo havina faida
Wakinga wanafanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya Pesa.
Mtu anavaa nguo Moja lakini anawekeza kwenye biashara. Utasikia sina Hela ya kula kumbe kuna sehemu kawekeza hela yake.
Ukweli ni kwamba bila kujitoa Huwezi kuwekeza. Endelea Kuwekeza kwenye muonekano utawakumbuka BUSINESS IDEAS ACADEMY.
Wakati unafuga nywele wenzako wanafuga Kuku, bata, mbuzi na ng'ombe.
View attachment 3297934
Unapanda maua ya mapambo wenzako tunapanda Mboga Mboga
Anza leo kuwekeza hata kwenye maarifa:
View attachment 3297931
Kujipatia kitabu cha Mawazo 112 ya biashara unaweza kutufuta whatsapp: 0612607426
Hah🤣🤣 Mkuu punguz ukali wa manenoMwisho wa kuwa na hizo pesa ni nini? Huo ni ushamba. Njombe ni washamba, eti mwanamke ana 500M bado anauza mboga sokoni, hiyo ni akili au matope? Wakinga pesa zao za kishirikina siyo wa kutolea mfano. Km huwezi kuvaa vizuri, kula vizuri, kuishi pazuri, kumiliki mali za kisasa huo siyo utajiri, utakuwa ni uchawi
Umetafuta,umezipata,Bado uteseke nazo!Hii MirembeMwisho wa kuwa na hizo pesa ni nini? Huo ni ushamba. Njombe ni washamba, eti mwanamke ana 500M bado anauza mboga sokoni, hiyo ni akili au matope? Wakinga pesa zao za kishirikina siyo wa kutolea mfano. Km huwezi kuvaa vizuri, kula vizuri, kuishi pazuri, kumiliki mali za kisasa huo siyo utajiri, utakuwa ni uchawi
Wengine hata kwenda hospital anaona,atapoteza hela!Ukijua sababu kuu, kwa nini tunaishi? unaweza kuona hii dhana ya tutafute hela huku tukijinyima inakuwa haia maana.
Inatakiwa, mwanzo wa maisha yako mpaka unakufa, unatakiwa kuishi kwa furaha; kwa sababu hapa duniani hatuishi kwa mashindano.