Sifa kuu tano za Mtu Maskini au utakuwa Maskini

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
39,833
Reaction score
92,354
SIFA KUU TANO ZA MTU MASKINI AU UTAKUWA MASKINI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Umaskini ni kama nguo. Yes ni Vazi ambalo mtu huamua kulivaa au pengine huweza kuvalishwa. Lakini asilimia kubwa ni vazi ambalo MTU huamua mwenyewe kulivaa.

2. Maskini ana sifa zake ambazo humtambulisha na zinaonekana hata angesema ajifiche vipi.

3. Wapo watu huvaa vizuri, huigiza maisha wakifikiri Wanaficha umaskini wao. Lakini kikawaida Umaskini haujifichi.

4. MTU maskini ni Maskini. Yaani ukimwona tuu hata umkute na Lamborghini au Umkute yupo ndani ya Kasri. Utamwona ni Maskini. Kwa sababu umaskini haujifichi.

5. Sasa Kama Mtibeli nitakupa Sifa za Mtu Maskini au sifa zitakazokufanya uwe Maskini. Kama ifuatavyo;

a) Mtazamo hasi.
Umaskini unaanzia kwenye Mindset. MTU maskini karibu mambo yote anayoyaona huyachukulia katika mtazamo Hasi.
Mtazamo hasi unatengeneza matatizo mengi zaidi kama Chuki isiyo na maana, lawama, wrong ideology, n.k.

Mtazamo hasi humfanya MTU asione matumizi yenye tija kwenye vitu. Asione Wema kwenye vitu.
Nitakupa Mfano,
Nguruwe ni Haramu Kwa baadhi ya Imani na jamii. Lakini maskini humwekea mtazamo hasi Nguruwe na walaji wa Nguruwe.

Ilhali Tajiri yeye anaweza kuwa Hali nguruwe kulingana na utamaduni na Imani yake lakini asiwe na mtazamo hasi kwa nguruwe na wala Nguruwe.
Akaamua kufanya biashara ya Nguruwe kuuza nguruwe au bidhaa zitokanazo NAA nguruwe akapiga pesa.
Hiyo ni tofauti Maskini na tajiri.

b) Wivu wa kijinga kwa wanaomzidi.
Wivu ni nature ya mwanadamu. Kisaikolojia wivu ni internal drive yaani msukumo wa ndani.
Wivu wa kijinga ni ule unaozaa chuki.
Unamchukia Taikon kisa anakubalika. Unamkataa Mtibeli kisa anachoandika watu wanakielewa na wanaona chamaana ingawaje wewe huoni umaana wa kazi zake.

Unaonea wivu mahusiano ya wenzako.
Wenzako wanapendana unaumia. Unasonya, unatukana, unatuma vijembe. Oooh! Wanatembea pamoja kama matoto, wanapostiana kama Washamba. Wanapiga picha photoshoot kama majinga. My friend wewe ni Maskini tuu.
Hiyo ni sifa ya Mtu Maskini.

Mwenzako kateuliwa au kapata kazi. Unaumia. Roho inapondeka. Oooh! Jamaa kilaza sana. Jamaa halijui lolote. Jamaa mavi ya mbwa. Acha wivu.
Kukubali mafanikio ya wengine ni kukubali uwezo wako pia.

Wivu wa kijinga hupelekea uchawi, ufitinishaji, usengenyaji, uuaji n.k

c) Kuigiza Maisha/Kujidanganya.
Maskini sifa yake nyingine kuu ni kupenda Kujidanganya. Kuigiza Maisha. Kukataa Ukweli.
Sisi Watibeli hatunaga maigizo ya maisha. Kama huna ni huna. Hatuwezi kujifanya tunacho wakati hatuna. Na hatuwezi kujifanya hatuna wakati tunacho.

Kuigiza maisha ni kama Mkanda au mshipi kwenye suruali ya vazi la umaskini.

Unavaa vizuri ili uonekane unapesa.
Unajifanya unaelimu kubwa wakati ni Kibushuti.
Unadanganya watu unafanya kazi sehemu Fulani ili upewe heshima.

My friend Acha kutafuta Validation hiyo ni Tabia ya Umaskini.

Jitambue.
Jikubali
Jiamini
Jipende
Jifunze.
Then utaona mabadiliko yaanza katika maisha yako kidogo kidogo utashangaa maisha yanapanda. Sio motivation hii ila ndio uhalisia.

Ooh! TaikonMaster naigiza maisha ili nipate Mwanamke mzuri au nikubalike na watu wakubwa.
Bro/sister acha utoto. Kuigiza maisha kutakupa watu wasiosahihi katika maisha yako. Ukiwa Fake utapata watu Fake.

Kuwa were/ulivyo/halisi utapata watakaokukubali hivyohivyo.
Nataka nikuhakikishie yupo mwanamke mzuri sehemu atakupenda hivyohivyo na utafurahia maisha yako. Yupo kijana mzuri atakupenda hivyohivyo na utafurahia uanamke wako.

Kuigiza maisha hakukufanyi uwe na Mke/mume mzuri au kuwa na Marafiki wazuri. Bali kunakupa mfumo fake ambao badaye uhalisia ukijitokeza utakuumiza.

d) Uvivu.
Uvivu ni kuanzia Akilini. Uvivu wa mawazo.
Uvivu ni kutaka wajibu wako ufanywe na watu wengine.
Ndio wajibu wako unaweza kufanywa na watu wengine kama utaweza kuwatumia, yaani kuwaajiri. Hiyo ni Akili.

Unapoanza kuwa mvivu wa kufikiri unaruhusu matatizo ya mwili yawe mengi zaidi. Yakusonge.
Unapokuwa mvivu wa kufikiri unapelekea wenye akili wautumie mwili wako kukutumikisha na kukilipa malipo kidogo Kwa sababu ya akili yako kuwa legelege.

Uvivu wa mwili na akili. Hupelekea lawama, utegemezi na kuwa mzigo kwa wengine.
Mwanamke na mwanaume wote lazima wafanye kazi. Iwe kazi ya kutumia nguvu ya mwili au akili lakini wote. Narudia wote.

Uvivu wa akili hupelekea mawazo potofu, dhana za kijinga, misemo ya kitoto na kijinga inayohamasisha umaskini.
Mfano ni watu maskini pekee utawasikia wakisema Mwanamke anatakiwa asifanye kazi.
Au mwanamke anatakiwa apewe hela.
Hizo ni kauli za watu wavivu kufikiri, maskini. Ni kauli potoshi, nyanyasaji, kandamizi yenye dharau kwa wanawake wenye Akili na matajiri.

Wanawake wenye akili zinazofanya kazi. Wao hufikiri hivi, mimi(mwanamke huyo) nitashirikiana na mume/mwenza. Akileta ugali nitaleta chumvi, akileta bati nitaleta msumari. Huyo ni mwanamke sasa.
Sio Mvivu. Mwanamke mvivu, tegemezi hawezi kukuzalia watoto wa maana. Atazaa vitoto vivivu na tegemezi. Na mzunguko wa umaskini utaendelea kizazi hata kizazi.

e) Kuwaza Kutumia zaidi ya kuzalisha.
Hawazi uwekezaji.
Hawazi uzalishaji
Hawazi faida inayoendelea.
Maskini hufanya kazi kama adhabu.
Ndio maana sio rahisi kuwekeza. Kwa sababu sio Jambo linalomfurahisha.

Mtu huwekeza kwenye Jambo ambalo akili yake inalifurahia. Weka akilini hiyo.
Kazi ni starehe.
Lakini Maskini kwake KAZI ni adhabu.

Starehe ukiifanya unaifanya kutokea moyoni sio mwilini tuu.
Wakati adhabu unaifanya mwilini. Huifurahii.

Unapowaza matumizi zaidi kuliko uzalishaji na uwekezaji unaingia kwenye kundi la Maskini.

Huwezi ukawa tajiri kwa kuwaza matumizi kuliko uwekezaji.
Akili yako ukishaiseti kuwaza matumizi. Kila ukipata pesa unashangaa matumizi hayo. Matatizo hayo. Kwa sababu macho yako huona kile kilichopo akilini mwako.
Sisi watibeli tunasema, Macho hayaoni. Kinachoonaga ni Ubongo wako.

Kama ubongo wako umejaa matatizo na matumizi. Ubongo utahifadhi matatizo hayo kwenye ung'amuzi bwete kisha ukipata pesa tuu hayo matatizo yatatoka kwenye ung'amuzi bwete na kuja katika mfumo wa kawaida wa ufahamu na ndio utashangaa unayaona matatizo mengi kuliko pesa.

Aiseeh kufikia hapo sina la ziada. Acha nikalale Kwanza. Asubuhi njema.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
kwenye nchi ambapo dhuluma, wizi, corruption, nepotism its order of the day kusifia unaowaita matajiri na kukejeli na kudhihaki unaowaita masikini ni kuwa out of touch na reality.
90% ya unaowakejeli kwa umaskini wao wako hivyo kwa ukosefu wa fursa, tanzagiza hakuna upward social mobility kwamba kama ukijituma kwa bidii basi unaweza kufanikiwa na kupanda daraja hakuna kitu kama hicho.
ili uweze kuwa tajiri tanzagiza inabidi udhulumu, uibe, ufisadi sasa siyo kila mtu ana nafasi ya kufanya ufisadi.
hivyo kudhihaki masikni kwenye nchi ambayo >68% ni masikini (wanaishi in less than a dollar usd/ day) inaonyesha ni jinsi gani hata usivyoelewa kinachoendelea kwenye jamii iliyokuzunguka …
 
kwenye nchi ambapo dhuluma, wizi, corruption, nepotism its order of the day kusifia unaowaita matajiri na kutukuna unaowaita masikini ni kuwa out of touch na reality.

Hayo yote uliyoyataja hapo juu ni vyanzo halisi vya umaskini na kutokuendelea.

90% ya unaowakejeli kwa umaskini wao wako hivyo kwa ukosefu wa fursa, tanzagiza hakuna upward social mobility kwamba kama ukijituma kwa bidii basi unaweza kufanikiwa na kupanda daraja hakuna kitu kama hicho.
ili uweze tajiri tanzagiza inabidi udhulumu, uibe, ufisadi sasa siyo kila mtu ana nafasi ya kufanya ufisadi.

Nafikiri hujawahi kuwaona Matajiri Maskini. Yaani mtu ni tajiri kiuchumi lakini ni maskini.
Uchumi ni mawazo.
Kuna matajiri ukikutana nao sasa hivi ni kama vinyamkela. Hawana nuru. Yaani wanapesa lakini wamefubaa.

hivyo kudhihaki masikni kwenye nchi ambayo >68% ni masikini (wanaishi in less than a dollar usd/ day) inaonyesha ni jinsi gani hata usivyoelewa kinachoendelea kwenye jamii iliyokuzunguka …

Ni umaskini pia kukataa ukweli kisa unafanywa na watu wakwenu, wazazi, wewe, mkeo, mumeo au ndugu au jamii yako.

Kwamba kwa vile jamii ni maskini unataka wasisemwe?

Ndio yaleyale mtu kisa Baba mlevi basi ataambiwa asiseme mada za walevi.

Au kisa Mama yake single mother basi wenye akili finyu watakimbilia kusema mbona Mamaako single mother.

Ukweli ni ukweli. Lazima usemwe ili uponyw
 
Unapata wa kukufanania.

Hata ukiita bodaboda, ukaona mnaelewana bei kirahisi tu jua huyo ni wa kukufanania.

Kama wewe ni mchafu mchafu unajikuta automatically hata daladala unapanda mbovumbovu na chafu chafu.

Fanya research panda daladala chakavu mida ya kawaida, chunguza abiria waliomo ndani, kisha muangalie konda na dereva, angalia uchakavu wa seat na kila kitu mle ndani utakuta kuna mfanano.
 
SIFA KUU TANO ZA MTU MASKINI AU UTAKUWA MASKINI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Umaskini ni kama nguo. Yes ni Vazi ambalo mtu huamua kulivaa au pengine huweza kuvalishwa. Lakini asilimia kubwa ni vazi ambalo MTU huamua mwenyewe kulivaa.

2. Maskini ana sifa zake ambazo humtambulisha na zinaonekana hata angesema ajifiche vipi.

3. Wapo watu huvaa vizuri, huigiza maisha wakifikiri Wanaficha umaskini wao. Lakini kikawaida Umaskini haujifichi.

4. MTU maskini ni Maskini. Yaani ukimwona tuu hata umkute na Lamborghini au Umkute yupo ndani ya Kasri. Utamwona ni Maskini. Kwa sababu umaskini haujifichi.

5. Sasa Kama Mtibeli nitakupa Sifa za Mtu Maskini au sifa zitakazokufanya uwe Maskini. Kama ifuatavyo;

a) Mtazamo hasi.
Umaskini unaanzia kwenye Mindset. MTU maskini karibu mambo yote anayoyaona huyachukulia katika mtazamo Hasi.
Mtazamo hasi unatengeneza matatizo mengi zaidi kama Chuki isiyo na maana, lawama, wrong ideology, n.k.

Mtazamo hasi humfanya MTU asione matumizi yenye tija kwenye vitu. Asione Wema kwenye vitu.
Nitakupa Mfano,
Nguruwe ni Haramu Kwa baadhi ya Imani na jamii. Lakini maskini humwekea mtazamo hasi Nguruwe na walaji wa Nguruwe.

Ilhali Tajiri yeye anaweza kuwa Hali nguruwe kulingana na utamaduni na Imani yake lakini asiwe na mtazamo hasi kwa nguruwe na wala Nguruwe.
Akaamua kufanya biashara ya Nguruwe kuuza nguruwe au bidhaa zitokanazo NAA nguruwe akapiga pesa.
Hiyo ni tofauti Maskini na tajiri.

b) Wivu wa kijinga kwa wanaomzidi.
Wivu ni nature ya mwanadamu. Kisaikolojia wivu ni internal drive yaani msukumo wa ndani.
Wivu wa kijinga ni ule unaozaa chuki.
Unamchukia Taikon kisa anakubalika. Unamkataa Mtibeli kisa anachoandika watu wanakielewa na wanaona chamaana ingawaje wewe huoni umaana wa kazi zake.

Unaonea wivu mahusiano ya wenzako.
Wenzako wanapendana unaumia. Unasonya, unatukana, unatuma vijembe. Oooh! Wanatembea pamoja kama matoto, wanapostiana kama Washamba. Wanapiga picha photoshoot kama majinga. My friend wewe ni Maskini tuu.
Hiyo ni sifa ya Mtu Maskini.

Mwenzako kateuliwa au kapata kazi. Unaumia. Roho inapondeka. Oooh! Jamaa kilaza sana. Jamaa halijui lolote. Jamaa mavi ya mbwa. Acha wivu.
Kukubali mafanikio ya wengine ni kukubali uwezo wako pia.

Wivu wa kijinga hupelekea uchawi, ufitinishaji, usengenyaji, uuaji n.k

c) Kuigiza Maisha/Kujidanganya.
Maskini sifa yake nyingine kuu ni kupenda Kujidanganya. Kuigiza Maisha. Kukataa Ukweli.
Sisi Watibeli hatunaga maigizo ya maisha. Kama huna ni huna. Hatuwezi kujifanya tunacho wakati hatuna. Na hatuwezi kujifanya hatuna wakati tunacho.

Kuigiza maisha ni kama Mkanda au mshipi kwenye suruali ya vazi la umaskini.

Unavaa vizuri ili uonekane unapesa.
Unajifanya unaelimu kubwa wakati ni Kibushuti.
Unadanganya watu unafanya kazi sehemu Fulani ili upewe heshima.

My friend Acha kutafuta Validation hiyo ni Tabia ya Umaskini.

Jitambue.
Jikubali
Jiamini
Jipende
Jifunze.
Then utaona mabadiliko yaanza katika maisha yako kidogo kidogo utashangaa maisha yanapanda. Sio motivation hii ila ndio uhalisia.

Ooh! TaikonMaster naigiza maisha ili nipate Mwanamke mzuri au nikubalike na watu wakubwa.
Bro/sister acha utoto. Kuigiza maisha kutakupa watu wasiosahihi katika maisha yako. Ukiwa Fake utapata watu Fake.

Kuwa were/ulivyo/halisi utapata watakaokukubali hivyohivyo.
Nataka nikuhakikishie yupo mwanamke mzuri sehemu atakupenda hivyohivyo na utafurahia maisha yako. Yupo kijana mzuri atakupenda hivyohivyo na utafurahia uanamke wako.

Kuigiza maisha hakukufanyi uwe na Mke/mume mzuri au kuwa na Marafiki wazuri. Bali kunakupa mfumo fake ambao badaye uhalisia ukijitokeza utakuumiza.

d) Uvivu.
Uvivu ni kuanzia Akilini. Uvivu wa mawazo.
Uvivu ni kutaka wajibu wako ufanywe na watu wengine.
Ndio wajibu wako unaweza kufanywa na watu wengine kama utaweza kuwatumia, yaani kuwaajiri. Hiyo ni Akili.

Unapoanza kuwa mvivu wa kufikiri unaruhusu matatizo ya mwili yawe mengi zaidi. Yakusonge.
Unapokuwa mvivu wa kufikiri unapelekea wenye akili wautumie mwili wako kukutumikisha na kukilipa malipo kidogo Kwa sababu ya akili yako kuwa legelege.

Uvivu wa mwili na akili. Hupelekea lawama, utegemezi na kuwa mzigo kwa wengine.
Mwanamke na mwanaume wote lazima wafanye kazi. Iwe kazi ya kutumia nguvu ya mwili au akili lakini wote. Narudia wote.

Uvivu wa akili hupelekea mawazo potofu, dhana za kijinga, misemo ya kitoto na kijinga inayohamasisha umaskini.
Mfano ni watu maskini pekee utawasikia wakisema Mwanamke anatakiwa asifanye kazi.
Au mwanamke anatakiwa apewe hela.
Hizo ni kauli za watu wavivu kufikiri, maskini. Ni kauli potoshi, nyanyasaji, kandamizi yenye dharau kwa wanawake wenye Akili na matajiri.

Wanawake wenye akili zinazofanya kazi. Wao hufikiri hivi, mimi(mwanamke huyo) nitashirikiana na mume/mwenza. Akileta ugali nitaleta chumvi, akileta bati nitaleta msumari. Huyo ni mwanamke sasa.
Sio Mvivu. Mwanamke mvivu, tegemezi hawezi kukuzalia watoto wa maana. Atazaa vitoto vivivu na tegemezi. Na mzunguko wa umaskini utaendelea kizazi hata kizazi.

e) Kuwaza Kutumia zaidi ya kuzalisha.
Hawazi uwekezaji.
Hawazi uzalishaji
Hawazi faida inayoendelea.
Maskini hufanya kazi kama adhabu.
Ndio maana sio rahisi kuwekeza. Kwa sababu sio Jambo linalomfurahisha.

Mtu huwekeza kwenye Jambo ambalo akili yake inalifurahia. Weka akilini hiyo.
Kazi ni starehe.
Lakini Maskini kwake KAZI ni adhabu.

Starehe ukiifanya unaifanya kutokea moyoni sio mwilini tuu.
Wakati adhabu unaifanya mwilini. Huifurahii.

Unapowaza matumizi zaidi kuliko uzalishaji na uwekezaji unaingia kwenye kundi la Maskini.

Huwezi ukawa tajiri kwa kuwaza matumizi kuliko uwekezaji.
Akili yako ukishaiseti kuwaza matumizi. Kila ukipata pesa unashangaa matumizi hayo. Matatizo hayo. Kwa sababu macho yako huona kile kilichopo akilini mwako.
Sisi watibeli tunasema, Macho hayaoni. Kinachoonaga ni Ubongo wako.

Kama ubongo wako umejaa matatizo na matumizi. Ubongo utahifadhi matatizo hayo kwenye ung'amuzi bwete kisha ukipata pesa tuu hayo matatizo yatatoka kwenye ung'amuzi bwete na kuja katika mfumo wa kawaida wa ufahamu na ndio utashangaa unayaona matatizo mengi kuliko pesa.

Aiseeh kufikia hapo sina la ziada. Acha nikalale Kwanza. Asubuhi njema.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Mitizamo hasi ni gereza bayasana na maskini wengi tuko humo
 
We itakuwa ni tajiri kwa falsafa zako.... ahahah
 
Back
Top Bottom