Big Nyota
JF-Expert Member
- Apr 2, 2018
- 565
- 957
Kwetu mbuzi wameanzia elfu 50, niliwahi kununua mbuzi mwaka 2010 bei ilikuwa elfu 20 kipindi hicho nipo shule ya msingi hivi yule mbuzi alizaa vitoto lakini chuki za wanakijiji walimuiba niliumia sana..Mbuzi wa bei hiyo wanapatikana wapi mkuu? Huku kwetu bei ya mbuzi 200,000
Sasa hivi nanunua ng'ombe tu lengo langu wafike mia hiv na kuendelea.