COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,157
- 1,268
Mkubwa mkuuMbuzi mkubwa au mdogo?
Mkubwa mkuuMbuzi mkubwa au mdogo?
Wee Acha tu kiluna mambo ni bonge la ujingaKwa hiyo mtu atembee peku ili anunue mbuzi? Haya anatembea peku kachomwa na msumali nwenye tetanus matibabu milioni 2, au kagongwa na nyoka kwenye kiisigino Anti-venom gharama laki 6 kwa sindano moja. Ila kupanga ni kuchgua.
Kijijini?Mkubwa mkuu
High IQmwenye akili ya pesa hajibani kutumia pesa yake👿 yy anahakikisha anaongeza kipato kukidhi mahitaji yake!
Vitoto vya mbuziNi 40000 vitoto
Dawa za hospitali nimetumia, lakini naweza kusema Mungu amenijalia afya njema ninaweza kukaa hata miaka miwili sijatumia dawa za hospitali..Kula milo 10 sio afya. Nini unakula ndo muhimu.
Wewe ni mmoja wa hao watu ambao hawajawahi kutumia dawa za hospitali au unaongea tu hadithi za kusadikika
Hajatembea sana huyo kuna sehemu mbuzi kwao sio kipaumbele, yaani sehemu zingine unaweza zunguka usikute wamechinja nyama ya mbuzi ni mwendo wa kitimoto na nyama ya ng'ombe.Mkubwa mkuu
Hivi nikuulize swali? Mtu anayekula kisinia chenye junk foods na yule aliyekula ugali na maharage na mboga za majani wote wakishiba utasema aliyekula kisinia ndio amefaidi kula chakula cha afya??Basic needs ni malazi, mavazi na chakula!
Nidhamu inaenda na mpangilio mzuri wa afya ya mwili na akili.
Huyo anajitesa na sio nidhamu!
Hakika mimi nilishtuka mahali kulikuwa na mbuzi elfu 20 tena kabeba karibu kujifungua halafu ni mbuzi wanao zaa Mapacha hadi 4 kwa mara moja. Tatizo likawa usafiri tu ndo mtihaniHajatembea sana huyo kuna sehemu mbuzi kwao sio kipaumbele, yaani sehemu zingine unaweza zunguka usikute wamechinja nyama ya mbuzi ni mwendo wa kitimoto na nyama ya ng'ombe.
Maeneo kama hayo mbuzi hawana thamani kiivyo.
Kabisa maisha ni kubalance.Pesa yako inabidi itimize mahitaji yako kwanza ya msingi kama mavazi,malazi na chakula(afya).
Ukiona unaforce kuwekeza wakati una nguo moja ujue kuna muda utaivuta tu hiyo pesa ulikoipeleka.
Angalau angeongelea vitu visivyo vya lazima kama ulevi na ngono kupitiliza. Chamsingi ni kupambana kukidhi mahitaji na kuwekeza