wewe jamaa jina lako bana .
Jana nimeripoti humu Jakaya ataongoza umati wa Watanzania kwenye maziko kule Ifakara kesho!. Saa hizi tayari yuko Morogoro.Vipi Jakaya na Bwana Wilibroad wameshaingia ukumbini hapo au?
Niko nyuma yako 1800
Kwani Hamad Rashid ni CUF?vijana wanalalamika cuf imewakilishwa na Hamad Rashid tu..
Jana nimeripoti humu Jakaya ataongoza umati wa Watanzania kwenye maziko kule Ifakara kesho!. Saa hizi tayari yuko Morogoro.
CHADEMA wanaweza kumpa pacha wake kiti hiki maalum katika moja ya hatua nzito za kumuenzi Regia. Naona alikuwa msaidizi wake maalum. CCM waliwahi kufanya hivyo kwa mdogo wake Kolimba, wakafanya hivyo tena kwa Kighoma Malima?Kulikuwa na Regia mmoja tu, na itabaki kuwa hivyo milele
Sana tu. Tena MUASISI.Kwani Hamad Rashid ni CUF?
Niko nyuma yako 1800
Hatutakaa tumjue vizuri huyu dada!rejia alizijua kanuni za bunge na alikuwa tayari kuomba msamaha akik
osea.makinda
spika nilimpa rejia mafunzo ya ujasiri