Kama upo Karimjee utaona kundi la watu wamevalia Tshirts, ukimwuliza yeyote atakuelekezaRIP Regia.
Hivi zile Tshirt zinapatikana kwa nani? au hazikutengenezwa, sikuwa na mtandao kwa cku 2 hapo nilipokua
please any update
Mwili wa Marehemu ndio unaelekea sehemu husika wamepita hapa Aghakan hospital
mkuu hojatete mbona huonekani hapa kwa wadau wa JF waliovalia tshirts?