Kutoka viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

Kwa Kheri mwana JF mwenzetu, mpiganaji na mwanamapinduzi wa kweli - Ungependa sana kuona mapinduzi ya kweli yanatimia ifikapo 2015 lakini mwenyezi mungu kaamua kumchukua na kakupenda zaidi kuliko sisi, Regia unaondoka ghafla bila kushuhudia tukio hilo la kihistoria ya Tanzania. Sisi tuliobaki wanachama na wapenzi wakubwa wa Demokrasia ya kweli tunakuahidi kuwa tunawasha indicator na tunasonga mbele - RIP. Regia na huko uliko tunajua kabisa utakuna na sisi katika mioyo yetu na utazidi kuongea nasi.

Kinachoniuma tena, sitasoma Thread zako ambazo ulitupatia Live!! kwenye mikutano na nakumbuka ulikuwa ukimaliza kwa kusema nanukuu "Hakuna kulala mpaka kieleweke"

Umetutoka ki mwili tu Regia lakini ki roho utakuwa nasi katika harakati hizi ulizotuachia kuhakikisha nchi hii inapata ukombozi kwa kweli hasa kwa watu wanyonge ambao wewe ulipigania kufa na kupona; usiku na mchana.

Respect Commander!!!
 
Wadau tshirt zinapatikana wapi?naomba kuju9a ilo tafadhari,nipo Moro natangulia Ifakara ila ijumaha nitakua Dar,nahitaji tshirt moja tafadhari
 
402120_329650313733389_100000652705975_1085551_339612069_n.jpg
Kwa msaada wa steve dii
380378_329653897066364_100000652705975_1085584_843408412_n.jpg
 
Jamani mimi niko Arusha maeneo ya kwa Mguu wa Zuberi tunaomba picha ya matukio hapo viwanjani! Kwaheri mwanaJF mwenzetu hakika Mungu amekupenda zaidi yetu! R.I.P
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom