Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
dr slaa anatoa salam ya chama
Kama upo Karimjee utaona kundi la watu wamevalia Tshirts, ukimwuliza yeyote atakuelekeza
Poleni sana.
kafulila
Kama upo Karimjee utaona kundi la watu wamevalia Tshirts, ukimwuliza yeyote atakuelekeza
Kama upo Karimjee utaona kundi la watu wamevalia Tshirts, ukimwuliza yeyote atakuelekeza
Hiyo ndio sifa kuu na ya msingi!..aliweka mazingira ambayo hata unayekuwa naye unasahau juu ya ulemavu wake, bali unasikiliza hoja anazosema!Mhe Regia hakujiona kama mlemavu.
TISS pia wapo!
maisha ya hapa duniani si kitu tujiweke tayari hatujui siku wala saa tutakapoitwa kwenye pumziko la milele
Mwanga wa milele umwangazie Regia apumzike kwa amani. AMINA