Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Asanteni sana wote kwa updates. Tupo pamoja
viongozi hawazuki wanaandaliwa
Tusiwakwaze vijane wanapojiingiza kwenye siasa, si watovu wa nidhamu,tuwalee''....Mbowe
Regia hakuzuka, alilelewa, alindwa...maneno ya Mbowe
Utawasiliana nasi +255 784 526 444 au +255 715 887 912 watakusaidia
We are no bunch of jokers here darling!mmmh! Ya kweli hayo///!
watu ni wengi wameanza kujitokeza,waheshimiwa wabunge,viongozi wa serikali ngazi mbalimbali,na wananchi kwa ujumla wakiungana na wanafamilia pamoja na wanachadema.
Mda si mrefu mwili wa marehemu utawasili ndani ya viwanja hivi.
Napenda kuwakaribisha nyote,zoezi hili halitachukua mda mrefu zaidi ya masaa 2.na baadae safari ya kuelekea ifakara.
Mshumaa wetu umezima.
Kulikuwa na Regia mmoja tu, na itabaki kuwa hivyo mileleManeno ya Mhe Pinda kwa mboye,
pengo hili mtaliziba ila sijui kama utampata mtu kama Regia.
Ndiyo majonzi yetu sote.
Utawasiliana nasi +255 784 526 444 au +255 715 887 912 watakusaidia