Lengeri
Senior Member
- Jul 3, 2009
- 180
- 18
Maneno ya Mhe Pinda kwa mboye,
pengo hili mtaliziba ila sijui kama utampata mtu kama Regia.
Ndiyo majonzi yetu sote.
Point of correction -- mwenyekiti wako anaitwa Mbowe....
Maneno ya Mhe Pinda kwa mboye,
pengo hili mtaliziba ila sijui kama utampata mtu kama Regia.
Ndiyo majonzi yetu sote.
ubarikiwe mkuu!!pole na msiba mkuu. Nipo nyuma yako pia fb. Mia
pole na msiba mkuu. nipo nyuma yako pia fb. Mia
huyu mama naye haya mambo ya kanuni za bunge anayaongelea ya nini msibani?bunge linaendeshwa kwa kanuni- anne makinda
Hatutakaa tumjue vizuri huyu dada!
Naona tulimwelewa chini ya nusu ya uwezo na busara zake kamili!
What a wonderful creature she was!
RIP REGIA!
mkuu nahitaji nami Tshirt,niki zikosa naimani itabidi nitembee kifua wazi hadi hapo mlipoKama upo Karimjee utaona kundi la watu wamevalia Tshirts, ukimwuliza yeyote atakuelekeza
Wanaweza wakafanya hivyo, lakini hoja yangu ni kuwa Regia ni Regia, huyo mwingine ni pacha wake tu, anaweza akalingana na Regia lakini hatakuwa Regia.CHADEMA wanaweza kumpa pacha wake kiti hiki maalum katika moja ya hatua nzito za kumuenzi Regia. Naona alikuwa msaidizi wake maalum. CCM waliwahi kufanya hivyo kwa mdogo wake Kolimba, wakafanya hivyo tena kwa Kighoma Malima?
mku kuna gazeti nilisoma huyu dada alikuwa anawalea mayatima wawili ailikua anakaa nao..kuna mlemavu mwingine huko kagera alikuwa anapokea laki moja kila mwezi kutoka kwa regia ..hayo ni machache tu kuna mengi hatuyajui bado
ok asante mkuu,pole na wewe pia
MC kasema Kafulila naye ataenda kwenye msafara ...watu wamecheka sana