Kutoka viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

Ni ngumu kukubalika lakini mungu alimpenda zaidi.!! Ehhh inaendelea nn mkuu hapo karimjee...
 
Watu ni wengi wameanza kujitokeza,waheshimiwa wabunge,viongozi wa serikali ngazi mbalimbali,na wananchi kwa ujumla wakiungana na wanafamilia pamoja na wanachadema..

Ndo maana akina MpigaKura sijawaona JF tokea juzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom