William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Thread starter
-
- #581
Huu mjadala unatuaibisha kama jamii. Hivi sisi na hao waheshimiwa wanaoogopa kuingia bungeni kwa imani za kishirikina tuna tofauti gani na wale wanaoua vibibi kizee, albino, wanaouchuna ngozi n.k? Aibu tupu!
wapya na waliobadili majinaHapa JF kuna member wengi sana wapya!
Watajua pande zote very soon!
Bora kubadili majina kuliko kuwa na jina zaidi ya moja na yote unayatumia kuchangia mada hapa JF..Hii tabia ya kuwa na majina zaidi ya moja ni yakupigiwa kelele... ni moja ya kero kubwa kabisa hapa JF.wapya na waliobadili majina
Mkuu Fundi hatuwezi kukwepa kujadili yanayojiri kwenye tifa letu kwa kuogopa aibu, yaliyotokea na tunayo yajadili ndio hasa uwezo wetu wa-Tanzania kiakili ulipo, kwa sababu look watu waliosoma Harvad kina Obama sasa wako wapi na hawa wenzetu waliosoma Harvad kina Chenge na Mungai walipo?
Hatuwezi ku-denial uwezo wetu wa kufikiri na kuona mambo kitaifa, mkuu Fundi haya tunayoayajadili yana-reflect us as a nation, kuyakwepa kwa sababu ni aibu ni kujaribu kuyafukia sio solution yatakuja kurudi tu mbele ya safari!
Field Marshall ES;221584[FONT="Arial Black" said:].... sasa tukizipata ni lazima zisemwe wazi kama zilivyopatikana, and then yanakuja maoni yetu wananchi hapa, hapo sasa ndipo wewe au mtu yoyote hapa anaweza kumshambulia mwingine kutokana na mchango alioutoa katika kujadili kilicholetwa hapa, kutoka kwenye mkutano,[/FONT]
Hiyo speed aliyonayo Muungwana ndiyo ambayo inatufanya sisi wengi ambao tulimpa kiti tuwe na mashaka na mwelekeo wake...maana sasa kila kukicha habari tunazosikia,tunazozisoma ni ufusadi hakuna tena maendeleo,elimu au kilimo bali ni ufisadi tuuuu.
Je ina maana hapo mbeleni alikuwa akiwalinda?Tujiulize
Hapa si tunazugwa tu,Mimi nilidhani walishapatikana na makosa sasa tusubiri makosa gani mengine?
Na inasikitisha zaidi tunaposikia Muungwana badala ya kukemea anajaribu kupooza.
NEC nayo inajaribu kuwasafisha wameanza na Lowasa na tunasubiri na hawo wengineo
Jamani hebu nisaidieni yaani mimi ndio nazidi kuchanganyikiwa haya mabo yatkwisha lini kweli kuna dalili hapa ya kiongozi kuwajibishwa?Mungu ibariki TANZANIA
Kama huu mjadala unataka tuwasikilize CCM...Halafu CCM ndio waliozichota pesa za EPA...Na mimi naunogesha mjadala ili waongelee kuwa pesa za EPA za wananchi walizifanyia nini na si UPUUZI WA NGUVU ZA GIZA!Kama ni issuez zikatwe kwa minajili ya wananchi na si maslahi ya KIMAFIOSO!
Tafadhali Mama, ningependa kuipata na mimi hiyo report lakini nimejaribu kufungua katika hiyo link haifunguki.... kuna thread imewekwa kama attachment?
Ninataka ya madini (ya Bomani)