Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

mimi isingekuwa my extended family na shida nyingi hizi, basi hadi kufikia umri huo ningekuwa na gari na nyumba and more Nashukuru Mungu niliwahi kusoma na kupata kazi nzuri katika umri mdogo, nilimaliza my master degree at the age of 24. Nikapata kazi ya kunilipa mshahara mzuri sana at the age of 25, now nina miaka 27. Namshukuru Mungu napata mshahara si haba, nikijibana naweza nunua gari, nikajenga nyumba na nyongeza kabla ya kufikia 30. Lakini doo, mshahara ukitoka tuu unapukutika hatare, Umtumie bi mdashi home, shangazi sijui mjomba nini na nini basi najukuta naendelea kuwa maskini tuu bila kupenda. saivi ndo nipo nawajengea wazazi nyumba, nimalizanane nao ndo nianze kujijenga mimi.
 
Ndo mana nimekuambia I was lucky, unlike others. Kila darasa nililopita i was the youngest student. Ndo mana natumia hii statement 'nilibahatika kuanza shule mapema '
Huyu hajui kuna ile mitoto tipwatipwa 5yrs utafikiri ni 8yrs hahahaha natania mommy cku ziende maisha yashakuwa tait haya na Noah zetu ndo zinataka ziote mbawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nyuma na mabanda, kuna magaribna mikweche. Kwa mishahara ya Tanzania kama sio mwizi utaweza kuwa na banda na mkweche tu!
 
Mi nilivipata hivyo hata kabla sijagusa 25 kwa jasho langu mwenyewe, bado sijagusa 30 though.

We jipange acha kulala ndani, zunguka tafuta pesa mjini wapo watu wengi wenye matatizo ambayo ukija na solution yake unapiga pesa vizuri tu. Ukikaa unasubiri mtu aje akuajiri hizo ndoto sahau, ni vigumu sana kujenga kama umeajiriwa.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] mkuu umenena vyema.. Sio kwa Tanzania hii ya Magufuli aisee Maisha kwa sasa yamekuwa magumu kwelikweli
Wengi waliofulia hua wanakuja na kisingizio hiki. Ila watu naowajua wengi wanapiga hela balaa na wanafurahia income yao imekua. Yaani ukiona unalalamika jua upo mwenyewe na wengine ambao ni wavivu wanasubiri mtu aje awagawie pesa au ajira. Kwa mtu anayejituma situation ya sasa hivi haimuaffect kabisa.
 
Nilikuwa na nyumba kubwa ikiwa finishing stage na Ruv4 nikiwa 28yrs.sasa nyumba kamili zipo 2 na hako ka Ruv4 nikiwa 30! Kwani nini,kuwa specific kwani hata Samata,Diamond,Zimbwe Jr sidhani kama wana above 30
 
ukitaka upate hivyo usipitie mfumo wa elimu mpaka degree uta fail....
usiogope wengi wanakutisha lakin hawajue umri wao halisi...wengi wamezaliwa hakuna hospital so usimuamin mtu akikwambia under 30....mijitu miongo ni mijitu mizima kabisa.........
Mijitu miongo mijtu mizima ,hahaaaahh
Nimecheka sana
 
You are unique, don't compare yourself to others.



Someone graduated at the age of 22, yet waited 5 years before securing a good job; and there is another who graduated at 27 and secured employment immediately!

Someone became CEO at 25 and died at 50 while another became a CEO at 50 and lived to 90 years.

Everyone works based on their 'Time Zone'. People can have things worked out only according to their pace.

Work in your “time zone”. Your Colleagues, friends, younger ones might "seem" to go ahead of you. May be some might "seem" behind you. Everyone is in this world running their own race on their own lane in their own time. God has a different plan for everybody. Time is the difference.

Obama retires at 55, Trump resumes at 70. Don't envy them or mock them, it's their 'Time Zone.' You are in yours!”
Analopanga Mola huwa hakosei na ukipatacho ni bora kumshukuru Mola bila kujali amekupa kwa wakati gani kwa mfano anaweza kukupa mali kwa umri mdogo akakuchukua mapema na mali zako zikatawanyika na ukasahaulika milele au ukachelewa kupata mali ila ukaishi muda mrefu na ukapata wa kukuendelezea mali zako na ukaendelea kukumbukwa vizazi na vizazi. Mmiliki wa Kentuky Fried Chicken (KFC) amepata mali akiwa aged tayari but hadi kesho kizazi chake kitafaidi uwekezaji wako. So time ipo kwa kila mmoja uwe under 25 or above
 
Wakuu naomba kuuliza hivi humu JamiiForums kuna kijana yeyote ambaye yupo chini ya miaka 30 ambae anamiliki gari na nyumba. Yani ambae ametafuta kwa jasho lake bila kupewa au kurithi.

Nimeuliza hivi kwa sababu mimi nina miaka 25 na ndoto zangu ni kumiliki gari na nyumba kabla Sijaoa. Lakini kila siku zinavyosogea naona ndoto inakua ngumu kutimia.

Nikipita barabarani au kwenye kumbi za starehe naona vijana wadogo wamepaki magari yao, basi roho yangu inaumia sana.

Hivi inawezekana kweli au ni ndoto za mchana hizi ninazoota.
Usimpeleke mwanao medical school , I'm all overwhelm and exhausted ,approaching 30 na bado bila bila, natamani kulia
 
Ngoja niende zangu gym mm nikamalizie hasira zangu kwenye vyuma tu. Watu tunanukia 30 lakini bado tunamlamba HR mat*ko atoe mshahara mapema alafu unaskia mara at the age of 23 i had a masters already. Kibo!!!
 
Inawezekana kabisa, fanya kazi kwa bidii na ujue kuweka saving. Nilikuwa 28 na kumiliki gari na nyumba na baraka ya mtoto.
 
Back
Top Bottom