MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 5,141
- 10,348
nilifanya hivyo nikiwa na 24 ni malengo tu
Asante mkuu nahitaji kununua gari ndo nijenge100% truth; I was 25 niliponunua gari yangu ya kwanza, nilianza ujenzi nilipofika 27. So, inawezekana. Ila sio rahisi sana
Sio mbaya utanunua gari tu kama kwa umri huu unamiliki TECNO-W3 utanunua gariAsante mkuu nahitaji kununua gari ndo nijenge
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Umerith????Ndio ninavyovyote hivyo na ni under 27.
Uliachana na shule ulipokuwa na umri gan100% truth; I was 25 niliponunua gari yangu ya kwanza, nilianza ujenzi nilipofika 27. So, inawezekana. Ila sio rahisi sana
Uko vizuri dogo.Ndio ninavyovyote hivyo na ni under 27.
sawa bwashee jiandae uko pmMi nina 28 nna nyumba tatu mbili zipo Dar (moja mbezi nyingine chanika), Nna nyumba moja Mwanza, nna gari mbili za kutembelea na tatu za biashara, nina biashara ambayo mtaji wake kwa sasa ni zaidi ya million 80. Na cjawahi kupewa mtaji na mtu wala familia sijawahi kukopa popote, pia sina urithi means familia yangu inanitegemea Mimi. This means kwenye haya maisha kila kitu kinawezekana, the only thing work hard and smart!
Sent from my HTC One A9 using JamiiForums mobile app
I mean nina miaka 28
HaaaSio mbaya utanunua gari tu kama kwa umri huu unamiliki TECNO-W3 utanunua gari
Na shule yako ipoje kama darasa la saba nitaaminiMi nina 28 nna nyumba tatu mbili zipo Dar (moja mbezi nyingine chanika), Nna nyumba moja Mwanza, nna gari mbili za kutembelea na tatu za biashara, nina biashara ambayo mtaji wake kwa sasa ni zaidi ya million 80. Na cjawahi kupewa mtaji na mtu wala familia sijawahi kukopa popote, pia sina urithi means familia yangu inanitegemea Mimi. This means kwenye haya maisha kila kitu kinawezekana, the only thing work hard and smart!
Sent from my HTC One A9 using JamiiForums mobile app
I mean nina miaka 28
Analopanga Mola huwa hakosei na ukipatacho ni bora kumshukuru Mola bila kujali amekupa kwa wakati gani kwa mfano anaweza kukupa mali kwa umri mdogo akakuchukua mapema na mali zako zikatawanyika na ukasahaulika milele au ukachelewa kupata mali ila ukaishi muda mrefu na ukapata wa kukuendelezea mali zako na ukaendelea kukumbukwa vizazi na vizazi. Mmiliki wa Kentuky Fried Chicken (KFC) amepata mali akiwa aged tayari but hadi kesho kizazi chake kitafaidi uwekezaji wako. So time ipo kwa kila mmoja uwe under 25 or above
Mm ntakua in rat race na nitajenga na kuwa na gari under 30... Ntakupa mrejesho ukitaka.. Mwaka 2026Kama Upo ndani ya Rat Race hutakuja kumiliki hivyo vitu ndani ya 30. Ila kwa wafanyabiashara ni kwaida. Under. Rat race wengi hujenga wanapofikisha 50s pale wabapopokea za kiinua mgongo.