ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,764
- 127,829
Hahaha, hii thread ni shida sana. Kwa walioenda shule hadi kiwango cha degree, kwa mfumo wa elimu yetu, inaweza kuwa ngumu sana kumiliki gari+nyumba bila backup yoyote.
Ambao waliishia katikati kielimu wakajiingiza kwenye ujasirimali, hao hatuwezi kujaji sababu huenda wameanza mapema.
Kuna mdau kachanganua vizuri huko juu;
1. Walioanzia chini(kupitia vyanzo halali)
2. Wezi na mafisadi.
3. Backup ya wazazi, ndugu, marafiki na connection za mjini.
4. Ushirikina.
Basi na mseme njia mlizopitia ili tujue.