Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

sio kila unachokifikilia ww na mwenzako anawaza hivohvo jamani...akili inatutofautisha kimaendeleo..mwingne akimaliza shule tu yeye anakaa kusubili ajira lakini mwingne anaingia msituni kutafuta maisha ..hao wawili maendeleo yatakuwa tofauti tu
 
Nilivyoanza ujasiriamali miaka kadhaa nyuma wakati bado nikiwa mdogo sana, vitu ambavyo vilinimotivate vilikuwa ni Gari kali, kuishi Mbezi Beach, kuvaa nguo kali kali, kupiga misele na Celebrities, kua na mademu wakali... nilivyopata hivyo vyote nikaja kugundua ni utoto tu, jambo ambalo nimelipa kipaumbele ni kujipa na kujipa tena knowledge, nilikuja kugundua kua na knowledge kamwe hautafilisika, nilikuja kugundua network ni jambo la msingi sana sana ili uwe sustainable milele, zaidi ya yote the most powerful thing ni kuwainua wale ambao bado wapo chini...

Boss, wekeza kwenye knowledge, jipe elimu afu jipe tena. Nina 23 yrs, nasukuma luxury car, nasafiri popote duniani bila kuhofia kufilisika, sijajenga bado, lkn siku nikijenga basi nina uhakika itakua ni hekalu fulani... hakuna mtu amewahi kufilisika knowledge!!

Na ukipata usipigie watu kelele... stay humble, usidharau watu, usiite watu kwa miruzi... just remain cool and be cool
 
Nilianza kujenga nikiwa na mwaka 23 same year nilinunua gari na pikipik
Ndio useme 30years
 
Inawezekana mkuu under 25 ukamilki moja ya hivyo vitu ama vyote though kwa upande wa nyumba labda pagale ila kwa upande wa gari ni kitu kidogo kwa kijana kumilki maana kuna gari mjini mpaka za 4million hata kama 10million....maisha ni vipaumbele tu kama utaamua
 
Mkuu labda nikuambie tu hilo lawezekana ila yaitaji ukaze sana katka kupiga kazi na kuwekeza na pia macho na akili yako izuie sana kwa mwanamke kama wataka utoboe,kwakua kwa umri huu under 25 au 26 kupata mwanamke wa kukupasaport kwa mambo ya msingi na maendeleo ni ngumu mkuu,,,
 
Vyote ninavyo...nyumba nilijenga at 28 na gari ati 29 now after kujenga migombani ndo nimenunua kwingine na msingi wa nyumba ya pili tayari at my 31! Pambana yote yanawezekana mangi!!
Dogo haamini kama inawezekana, mie ningeweza kujenga under 30 ila nilichelewa kidogo mpaka at age of 33 ndo nikajenga though akili ya kujenga ikiwa pamoja na kujengea kichwani nilianza tangu nikiwa 22 years and at the age of 26 nikanunua kiwanja
 
Usishindane na watu dogo, waweza kuta wamefanikiwa yote haya wakiwa wadogo na kupoteza vyote, kutangulia sio kufika, wewe nenda na kasi yako, soma vya kutosha, piga kazi sana, hapa hapa bongo waweza kupiga kazi 2 kwa siku, moja mpaka jioni, jioni waingia tena sehemu nyingine, iwe kufundisha au technical, mishe mishe itakupeleka pabaya kwanza adhabu yake kubwa na ule uoga wa kukamatwa utakufanya usifaidi kabisa hela yako, utafanikiwa tu, kila mtu anayo riziki yake duniani, swala ni lini, ila bidii kwa kila kitu ufanyacho, hata iwe bustani, kuku, ofisi, kufundisha, yaani chochote kile wewe fanya kwa umakini na nenda mbele zaidi ya wenzako, hata wakuone unajipendekeza poa tu, una maana yako, hii ndiyo siri ya ushindi..
 
FANYA KAZI YAKO HALALI KWA BIDII HUKU UKIWEKEZA SEHEMU TOFAUTI TOFAUTI SIO LAZIMA KUWA NAVYO VYOTE KWA UMRI HUO BINAFSI NILIVYOFIKISHA 27 NILIKUWA NAVYO VYOTE HIVYO
 
It is possible km huna anasa anasa...kila weekend unajirusha...
Nilianza kazi at 23
Nikanunua kijishamba at 24
Nikanunua kigari with my very own money at 25 kwa kumake...(maana wanajamii/jirani walikua wachoyo sana na lift zao wananipita nikienda job[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16])
Swala la kujenga sikutaka kuwaza nikasema mpk nipate mwenza wangu tujenge wote...nisije kosa mume bure...lol...
Ukipunguza spending everything is possible...
ILA KIPINDI HIKI CHA MSUKUMA KILA KITU BEI JUU...SIJUIIIIII..KM
ITAKUWA SIMPLE...bandarini kwenyewe kodi juu lol
pia..jikune unapoweza..usiige watu
 
Mm nilifukuzwa nyumbani nikiwa 19 yrs nikaowa wen i was 21 nikiwa na escudo bro nikahama bara zima la africa na wife nikiwa 26 yrs nimejenga kigamboni tuna watoto 2 na sijutii uamuzi wakuowa na changamoto zake she is all i needed in life and she has sharpen my mind get a wife utapata vyote .....and more
Ila hiyo avatar yako hiyooo....
 
Back
Top Bottom