Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

Mm ntakua in rat race na nitajenga na kuwa na gari under 30... Ntakupa mrejesho ukitaka.. Mwaka 2026

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Kwa mkopo

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
WaPo wengi sana..kuna mmoja amenunua gari ya Million17 from Japan tena ni Senior lecture wa Chuo kimoja hapa Tz na sasa anafanya Phd yake safi!
Mkuu maana ya senior lecturer anayefanya PhD tumeilewa tofauti. Naomba ufafanuzi kama hutojali
 
Wazia hayo yote lkn kamwe usijiringanishe na mwengine!Kikubwa wahenga wanasema Pambana na hali yako!yote yanawezekana!iissue ni malengo tu na nia!Nilijiwekea vitu 3,cha kwanza driving(wakati sina gari),pili passport ya kusafiria na 3 ni degree,vyote vilitimiza baada ya kupambana na hali niliyokuwa nayo na baada ya miaka 27 tu nikaweza timiza ndoto yako wewe plus na kuoa!Narudia tena pambana na hali yako hamna lisilowezekana!
 
kuna kamodel nilikaona kanahojiwa na milard ayo kana miaka 20, ni mtanzania anaishi marekani na amenunua nyumba new York, so hayo mambo yanawezekana mkuu itategemeana tu na nyota yako ikoje kama nyota chafu we kaisafishe then utaona pesa zitakavokugombania, watu wengine pesa zinawafuata tu hata waende wapi hawavuji jasho

Sent from my Infinix HOT 3 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu naomba kuuliza hivi humu jamiiforum kuna kijana yeyote ambaye yupo chini ya miaka 30 ambae anamiliki gari na nyumba.Yani ambae ametafuta kwa jasho lake bila kupewa au kurithi.

Nimeuliza hivi kwa sababu mimi nina miaka 25 na ndoto zangu ni kumiliki gari na nyumba kabla Sijaoa.Lakini kila siku zinavyo sogea naona ndoto inakua ngumu kutimia.

Nikipita barabarani au kwenye kumbi za starehe naona vijana wadogo wamepaki magari yao, basi roho yangu inaumia sana.

Hivi inawezekana kweli au ni ndoto za mchana hizi ninazo ota.

Anza kuuza bwimbwi..
 
Mbona hiyo mingi. Watu wana 25 na wanamiliki nyumba, magari, mke, na watoto

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Y
Kwanini Umesema Zisiwe za kurithi.?
Kwani Elfu10 ya Kurithi na ya kutafuta mwenyewe matumizi tofauti.?

Back to yo Qn..
Niliacha shule nikakaa kitaa 3 years nikahakikisha napata hvyo sahivi nimerudi shule nipo degree mwaka wa kwanza..nina miaka 24..

Funzo ni kwamba hutovipata kupitia elimu ukiwa chini ya miaka 32..
Yeah true....kupitia education ni ngumu sana japo kuna uwezekano mdogo mnoo...
 
Wakuu naomba kuuliza hivi humu jamiiforum kuna kijana yeyote ambaye yupo chini ya miaka 30 ambae anamiliki gari na nyumba.Yani ambae ametafuta kwa jasho lake bila kupewa au kurithi.

Nimeuliza hivi kwa sababu mimi nina miaka 25 na ndoto zangu ni kumiliki gari na nyumba kabla Sijaoa.Lakini kila siku zinavyo sogea naona ndoto inakua ngumu kutimia.

Nikipita barabarani au kwenye kumbi za starehe naona vijana wadogo wamepaki magari yao, basi roho yangu inaumia sana.

Hivi inawezekana kweli au ni ndoto za mchana hizi ninazo ota.
 
Wakuu naomba kuuliza hivi humu jamiiforum kuna kijana yeyote ambaye yupo chini ya miaka 30 ambae anamiliki gari na nyumba.Yani ambae ametafuta kwa jasho lake bila kupewa au kurithi.

Nimeuliza hivi kwa sababu mimi nina miaka 25 na ndoto zangu ni kumiliki gari na nyumba kabla Sijaoa.Lakini kila siku zinavyo sogea naona ndoto inakua ngumu kutimia.

Nikipita barabarani au kwenye kumbi za starehe naona vijana wadogo wamepaki magari yao, basi roho yangu inaumia sana.

Hivi inawezekana kweli au ni ndoto za mchana hizi ninazo ota.
Ngoja nikueleze kidogo, nilimaliza chuo kikuu nikiwa na miaka 26 tayari nilikuwa na biashara yangu ya insurance agency na gari nilikuwa nayo aina ya Nissan March.

Nilifanya marketing nikapata kazi kubwa kwenye kampuni fulani sitaitaja wana malori na tanker trucks nilipokatia bima nilipata faida milioni 40 na ushehe maana alikuwa na lorry zaidi ya mia.

Nilijenga nyumba ndogo nikahamia kwangu mbezi juu interchick. Mwaka uliofata nilipata tena hiyo kazi nikabadilisha gari na miradi ikaanza nikaona nimesimama ilipofika nina miaka 29 nilioa na mpaka sasa nimerudi kwenye profession yangu ya Uwakili na maisha yanaendelea.

So amini kwenye hilo
 
Kama ndoto yako haijatimia rudi kitandani uikamilishe.
 
Kuna mtunamjua (family frnd) mshahara wa lak 9 na bonus over lak 3....so kwa mwezi hakosi 1.3 mpk 1.5 lakini duuh...anaishi kishua sana...ndani mwake ana kitanda na godoro,friji,flat screena na iphone 6plus...so inategemea na akili ya mtu
 
Mkuu kabla haujamiliza chuo ulikuwa na gari na kampuni....mtaji wa kuanzisha kampuni na kununua gari ulitoka mfukoni mwako au support ya family??
Mtoa mada kasema vitu vya kwako si support (kupewa mtaji) au vya kurithi...hapa tunazungua wale waliostruggle wenyewe tu hao wengne ni out of this
 
Kuna mtunamjua (family frnd) mshahara wa lak 9 na bonus over lak 3....so kwa mwezi hakosi 1.3 mpk 1.5 lakini duuh...anaishi kishua sana...ndani mwake ana kitanda na godoro,friji,flat screena na iphone 6plus...so inategemea na akili ya mtu
Teh una umri gan mkuuu,mbona hvo vitu ulivyo vitaja ni normal saana kwa kijana wa kileo......au umetokea bush mkuu ndo umekuja mjini
 
  • Thanks
Reactions: amu
Teh una umri gan mkuuu,mbona hvo vitu ulivyo vitaja ni normal saana kwa kijana wa kileo......au umetokea bush mkuu ndo umekuja mjini
Nadhan we ndo wa bush....unakurupuka...tunazungumzia maendeleo b4 30yrs....we unashangaa nini...
 
Back
Top Bottom