Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

Afu class nilikua niko vizuri sana. I mean i was an A grade student. So tokea nilivoanza darasa la kwanza nikaja kumaliza masters bila kukatiza. Yani nimemaliza la saba nikaunga niliunga moja kwa moja bila kupumzika mwaka hata mmoja, hadi namaliza my Masters degree. Nimesoma mfulizo for damn 18 years.
Baba kuwa makini sana . Ulianza shule na miaka mitano ni chekechea au darasa la Kwanzaa. Let's say ni darasa la kwanza then plus 7 yrs ya primary ni 12 , plus 4yrs ya o level tayari ni 16, plus 2yrs ya advance tayari ni 18, plus 3yrs first degree tayari ni 21. Be careful not to that extent
 
Haya hiyo 21 plus two years master degree unapata miaka mingapi? Acha ubishi usio na faida. Sio wote tumesoma MEMKWA
 
Ndo mana wengine tuna admit kuwa kwa haya maisha yetu ya mtanzania wa kawaida, with extended families etc. Tunaendelea kuwa maskini huku tunajiona.
Vicious cycle of poverty at family level, hasa sie wenye wazazi wa mwaka 47 unakuta mmezaliwa 6 ama 5 mzazi anasomesha mtoto wa 1 mpaka 3 na 4 kwa shida at the time yule mtoto wa kwanza anaanza maisha mtoto wa mwisho ama wa pili kutoka mwisho amefika form 1 inabidi amsomeshe mpaka chuo at the time watoto wake nae wamekuwa atamsomesha mmoja alafu anaishiwa nguvu hivyo na mdogo wake ambae alimsomesha nae anapoanza maisha inabidi alipe fadhila......mambo yanakuwa mambo kwa style hiyo hiyo though inatakiwa kujipanga sana kwa maisha yetu ya extended kwa kuitumia hela kikamilifu once unapoanza maisha
 
Baba kuwa makini sana . Ulianza shule na miaka mitano ni chekechea au darasa la Kwanzaa. Let's say ni darasa la kwanza then plus 7 yrs ya primary ni 12 , plus 4yrs ya o level tayari ni 16, plus 2yrs ya advance tayari ni 18, plus 3yrs first degree tayari ni 21. Be careful not to that extent
And it's true nimemaliza first degree nikiwa na miaka 21, nikaunganisha kusoma Masters, kwa miaka miwili . Sasa hapo uongo uko wapi? Hesabu ndogo hivi zinakushinda
 
Baba kuwa makini sana . Ulianza shule na miaka mitano ni chekechea au darasa la Kwanzaa. Let's say ni darasa la kwanza then plus 7 yrs ya primary ni 12 , plus 4yrs ya o level tayari ni 16, plus 2yrs ya advance tayari ni 18, plus 3yrs first degree tayari ni 21. Be careful not to that extent
Afu kumbuka sio wote waliopo JF ni kina baba.. Am not baba
 
Vicious cycle of poverty at family level, hasa sie wenye wazazi wa mwaka 47 unakuta mmezaliwa 6 ama 5 mzazi anasomesha mtoto wa 1 mpaka 3 na 4 kwa shida at the time yule mtoto wa kwanza anaanza maisha mtoto wa mwisho ama wa pili kutoka mwisho amefika form 1 inabidi amsomeshe mpaka chuo at the time watoto wake nae wamekuwa atamsomesha mmoja alafu anaishiwa nguvu hivyo na mdogo wake ambae alimsomesha nae anapoanza maisha inabidi alipe fadhila......mambo yanakuwa mambo kwa style hiyo hiyo though inatakiwa kujipanga sana kwa maisha yetu ya extended kwa kuitumia hela kikamilifu once unapoanza maisha
Point[emoji110][emoji110]
 
Kumbuka miaka mitano uliyosema sio kweli ndugu kwa mwaka uliozaliwa no one could be in standard one with 5yrs at least 7yrs unless hujui exactly mwaka uliozaliwaaaa
Nimezaliwa mwaka 90. Unalazimisha nini sasa? Yani nashindwa kukuelewa hautaki kuwa nimemaliza degree ya pili na miaka 24, au sielewi roho inakuuma nini? Ai wee ndo wale mlianza la kwanza mna miaka 12? Sio kila kitu cha kubisha, au unabishia mazoea?
 
Kumbuka miaka mitano uliyosema sio kweli ndugu kwa mwaka uliozaliwa no one could be in standard one with 5yrs at least 7yrs unless hujui exactly mwaka uliozaliwaaaa
Hahaha pole sana kwa kuchelewa kuanza shule. It was never my fault. I was so lucky kuanza shule mapema. So don't hate me for that...
 
Sio lazima utoboe kwa hela za wazazi. Nina mifano kama 3 real. Kuna rafiki yangu under 30 kaacha kazi mwaka jana pale World vision anamiliki mark x kali na nyumba. Hajarithi chochote. Mwingine alivyomaliza chuo kapiga ymachinga kariakoo kisha kashirikiana na wenzie kupanga chumba kariakoo, sasa hivi anapiga biashara china, india, tz. Kama unajua kodi ya chymba pale kariakoo utaelewa, Hajarithi kokote.
Mwingine ni ndugu yangu kabisaa, mwanajeshi sasa hivi anamalizia mjengo kigamboni, napiga nae story anasema mwezi wa saba ananunua gari. Naye hajarithi chochote na ni under 26.
Kiukweli sometime miaka tunayotumia kwenye elimu zetu hizi za calculus, zinatucheleweshea maendeleo kutufanya watafuta kazi
uyo mjeshi kakopa pesa benki
 
Hahaha pole sana kwa kuchelewa kuanza shule. It was never my fault. I was so lucky kuanza shule mapema. So don't hate me for that...
Never hate u my friend. Ni sera tu ya elimu inasema hivo huwezi kuwa darsa la kwanza na five years. Ungelazumishwa tu kurudi nyuma usubiri ufike 7yrs. bt hongera if it happens 2 i
 
Never hate u my friend. Ni sera tu ya elimu inasema hivo huwezi kuwa darsa la kwanza na five years. Ungelazumishwa tu kurudi nyuma usubiri ufike 7yrs. bt hongera if it happens 2 i
Ndo mana nimekuambia I was lucky, unlike others. Kila darasa nililopita i was the youngest student. Ndo mana natumia hii statement 'nilibahatika kuanza shule mapema '
 
kwa mfumo wa elimu ya msingi mpk chuo kikuu ni ngumu labda kama umeajiriwa halafu sehemu uliyopo kuna dili nyingi ila kwa mshahara wa kawaida ni uongo,,
 
Wakuu naomba kuuliza hivi humu jamiiforum kuna kijana yeyote ambaye yupo chini ya miaka 30 ambae anamiliki gari na nyumba.Yani ambae ametafuta kwa jasho lake bila kupewa au kurithi.

Nimeuliza hivi kwa sababu mimi nina miaka 25 na ndoto zangu ni kumiliki gari na nyumba kabla Sijaoa.Lakini kila siku zinavyo sogea naona ndoto inakua ngumu kutimia.

Nikipita barabarani au kwenye kumbi za starehe naona vijana wadogo wamepaki magari yao, basi roho yangu inaumia sana.

Hivi inawezekana kweli au ni ndoto za mchana hizi ninazo ota.
kwani wewe ni he/she? kama ni she ni pm nikupe mwongozo ya jinsi ya kufanya ili umiliki hizo vitu!
 
Mkuu inawezekana sema walimwengu wabaya tuu. elimu yetu inavyochukua mda acha tena na fitina za wanadamu mtu unashindwa kusonga mbele ila nakuhakikishia kwa ambao hawakundelea na elimu ya juu kama walikua makini saivi wapo mbali sana kimaisha.

Embu fikiria chalii wangu tuliachana four saiv tumekutana nusura nimsalimie. Nyumba na gari anavyo mwakan naenda kusimamia harusi yake.
 
Mkuu Usipoiba kwa kipindi kilichobaki Haki ya Mungu sikudanganyi ... Labda ukatoe kafara
Usimkatishe tamaa bwana..juhudi huzaa mafanikio.mtoa mada fanya kazi kwa bidii bila kuchagua japo ziwe kazi halali.mafanikio yapo
 
Back
Top Bottom