Geechie
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 977
- 763
Mambo ya Ibiza nini?Everthing is possible,
Ila tamaa zisiwe nyingi sana, madogo wengine wanapumuliwa ndio wanapewa hizo vitu.
Mambo ya Ibiza nini?Everthing is possible,
Ila tamaa zisiwe nyingi sana, madogo wengine wanapumuliwa ndio wanapewa hizo vitu.
Jamaa umenichekeshakuna porojo ziko humu, kila mmoja maisha mazuri under 30 ana kila kitu
ukifatilia uzi wa matengenezo ya magari kule huwaoni asa haya magari yepi? wanayo sema
uzi wa ujenzi huwaoni hata kuulizia bei ya marumaru dizaini mpya.
Oooh nna 23 nna vyote ivo, ***** naona gari na nyumba vimekuwa matako sasa kila mmoja anavyo
Nna 28yrs sina chochote.
Wewe ni lusajo mwana wa kabuku??Acha tu mkuu
Hapana kaka. Halafu mimi ni mkinga si unajua haya majina tunashea na majirani zetu wanyaki?Wewe ni lusajo mwana wa kabuku??
Aha kumbeHapana kaka. Halafu mimi ni mkinga si unajua haya majina tunashea na majirani zetu wanyaki?
hahahahaha hii ndio JF HAHAHA
hahahaha Miss you sana.... Blaki Womani umejificha sana..... mimi na miliki watoto na mama yao tuuu.loya wewe unamiliki nini ? hahahahaha ngoja ukutane nao hawatajitambulisha asije kuumbuka bure
hahahaha Miss you sana.... Blaki Womani umejificha sana..... mimi na miliki watoto na mama yao tuuu.
Wewe una gari na nyumba ngapi?
Hawa hawa ikija thread 'elfu kumi unatumia siku ngapi?' ukisema haimalizi siku wanakushambulia unajikweza.....hapa kila mmoja alijenga na kununua magari before 30!hahahahaha hii ndio JF HAHAHA
Aisee naamin kwa neema za Mungu mimi niliweza kujenga nyumba yangu nikiwa na miaka 26 na 28yrs nikaweza kumiliki gari langu aina Cresta 90 balloon anyway kwa neema za Mungu nilipata bahati ya kupata ajira ya serikali nikiwa mdogo wa 21yrsWakuu naomba kuuliza hivi humu JamiiForums kuna kijana yeyote ambaye yupo chini ya miaka 30 ambae anamiliki gari na nyumba. Yani ambae ametafuta kwa jasho lake bila kupewa au kurithi.
Nimeuliza hivi kwa sababu mimi nina miaka 25 na ndoto zangu ni kumiliki gari na nyumba kabla Sijaoa. Lakini kila siku zinavyosogea naona ndoto inakua ngumu kutimia.
Nikipita barabarani au kwenye kumbi za starehe naona vijana wadogo wamepaki magari yao, basi roho yangu inaumia sana.
Hivi inawezekana kweli au ni ndoto za mchana hizi ninazoota.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna porojo ziko humu, kila mmoja maisha mazuri under 30 ana kila kitu
ukifatilia uzi wa matengenezo ya magari kule huwaoni asa haya magari yepi? wanayo sema
uzi wa ujenzi huwaoni hata kuulizia bei ya marumaru dizaini mpya.
Oooh nna 23 nna vyote ivo, ***** naona gari na nyumba vimekuwa matako sasa kila mmoja anavyo
Nna 28yrs sina chochote.
HujamboooHaya wenye majumba na magari yenu.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sijambo fisadi, marahabaa!
Hiyo marahaba vipi, unataka kuninyima?Sijambo fisadi, marahabaa!