Shule ya msingi, Mikongeni iliyopo Pugu ni mfano mzuri wa shule zote za msingi za serikali zinavyopaswa kuwepo zama hizi

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
434
1,966
Video inaonesha na kueleza vizuri shule ya msingi Mikongeni, ambayo ni Shule ya Msingi ya Umma (Inamilikiwa na Serikali) yenye Mchepuo wa Kiingereza.

Shule ni nzuri kwa miundombinu yote.

Hata hizi shule za binafsi tunazowapeleka watoto wetu wa kisasa kina Juniour na kulipishwa ada milioni mbili ama milioni tatu kwa mwaka hazifikii ubora wa miundombinu iliyopo kwenye Shule ya Serikali ya Mikongeni

Ushauri wangu shule zenye ubora kama huu ama standard kama hii zinapaswa kujengwa kwenye kila Kata ili watoto wote wa-enjoy kodi za wazazi wao kwa kusoma shule nzuri za Serikali

Kama kwenye udahili hakuna chembe za rushwa hiyo good.

Pia je, huoni kuwa unatengeneza madaraja katika jamii Moja?

Inakuwaje watoto wengine wapate elimu moja yenye kumudu ushindani na wengine wapate elimu ambayo haimudu ushindani?

Rai yangu ni kwamba serikali isikwepe wajibu wa kutoa elimu bora kwa watoto wote
 
ndio maana nikashauri kila kata zijengwe ili wa Tanzania wote waenjoy kodi zao .

maana ni ubaguzi wa sehemu fulani wawe na shule nzuri na sehemu zingine wasiwe nazo na huku wote wanalipishwa kodi na TRA
 
video inaonesha na kueleza vizuri shule ya msingi mikongeni, ambayo ni public primary school yaani english medium inayomilikiwa na serikali.

shule ni nzuri kwa miundombinu yote.

hata hizi shule private schools tunazowapeleka watoto wetu wa kisasa kina juniour na kulipishwa ada milioni mbili ama milioni tatu kwa mwaka hazifikii ubora wa miundombinu iliyopo kwenye public school ya mikongeni primary school

ushauri wangu shule zenye ubora kama huu ama standard kama hii zinapaswa kujengwa kwenye kila kata ili watoto wote waenjoy kodi za wazazi wao kwa kusoma shule nzuri za serikali

View attachment 2939117
Inamazingira mazuri kwa sababu inatumia lugha nzuri kufundishia lugha ya kiingereza.
 
Pugu kuzuri bana...mazingira mazuri ,tabia pia
Hiyo shule ukijenga mbagala huko au kino msisiri tmk huko ...itakuwa ovyo juu

Ova
 
Hongera Serikali, Shule zote zinatakiwa kuwa hivi, tuipe Elimu umuhimu wa kwanza kabla ya V8 za viongozi.
Mkuu siku hizi na wewe unageuka chawa? Sioni la kutoa hongera hapa. Shule zetu zote zilitakiwa ziwe zaidi ya hii. Hili siyo jambo la kuipongeza seriali hata kidogo. Na kwa bahati mbaya sana hili suala la ''kuishukuru serikali'' au ''kumshukuru rais'' imekuwa kama ndiyo sala ya watanzania wengi sasa hivi. Huyo mwalimu maneno ''tunaishukuru serikali'' sijui amerudia mara ngapi kwenye hayo maelezo yake.
 
Hahah ni kweli, culture yetu Tz imetushape kitofauti. Ndio maana hata tukienda kununua kitu dukani tunaanza na neno “naomba”.
 
Back
Top Bottom