Baba Adele
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 208
- 229
Na tulio warefu na tuna ndefu pia mungu katupa vyote? Sifa zote njema anastahili Mungu muumba mbingu na Ardhi. Namshukuru kwa maumbile alioniumba nayo, najua hata maumbile pia ni majaribu,maana naona jinsi wadada wanavyopata shida, halafu hakuna kitu kibaya au kizuri km ukijitambua maana unajua silaha yako ilipo uitumie vp. Thank God umenibariki acha nikuabudu kwa mazuri ulionitendea, maana ukitaka kujua neema alokupa mungu watazame ambao hawana utaona kua unatakiwa kushukuru.Mungu hakupi kila kitu