Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,950
- 183,535
Sasa warefu wengi ndio vibamia(wanasema)Hao wengi mnawasema wabishi na Tim viba100
Hamkawiii kuwasema
Wafupi wanajua kupenda asikuambie mtu, na wamejaaliwa, Mungu hakunyimi vyote.
Sasa warefu wengi ndio vibamia(wanasema)Hao wengi mnawasema wabishi na Tim viba100
Hamkawiii kuwasema
Wanakuwa na nguvu sana kwenye ndindindi yani ngwiji ngwiji aisee
Dah namimi imebidi niwe mfupi.....Sasa warefu wengi ndio vibamia(wanasema)
Wafupi wanajua kupenda asikuambie mtu, na wamejaaliwa, Mungu hakunyimi vyote.
Dah namimi imebidi niwe mfupi.....
Sio kwa sifa hizi. Msituseme sana
Dah sio kwa sifa hizi.....inaelekea kuna mjinga mmoja mfupi kaingia king.....Hahahaaa!!! Alafu wana miakiliii,wataftajiiii(hapa ndio wananimaliza)
Pale magogoni kuna dwarf ujueMpododo but also dwarfs are very stupid n sturbon [emoji779] [emoji779] [emoji779] my apology though [emoji25] [emoji25] [emoji25] for such a harsh truth/reality
mie nina 163 cm, sidhani kama nahusika kwenye dwarfMtu yeyote ambaye urefu wake hauzidi futi 4.7 au mwenye urefu usiozidi sentimeta 147cm huyo ndiye dwarf, so jipime uone upo wapi[emoji38][emoji38][emoji38]
The secret behind Tall men waulize wanawake wafupi watakupa ukwel wote?
Kuna mkaka mrefu halaf anavutia kweli lakin pale kati ana kipisi tu
We binti mbona kama unanisema mimi eti..Hahahaaa!!! Alafu wana miakiliii,wataftajiiii(hapa ndio wananimaliza)
Tehteh mzee ninaubishi mzee...
Haha umenikumbusha text moja nilisoma eti jamaa alikuwa anawaponda wanawake wafupi.. wakivalia magauni mekundu njiani unafikiri vimitungi vile vidogo vya oryx haha
Ha ha ha ha huyo ana ugomv wa mawe mitung ya gesi duuh
Ila wanawake wafup ni wakorof balaa
Hadi wanaume... wabishi saana... mtu mfupi na mrefu kabla hawajakutana tayari wanakuwa wana mgogoro wa nafsi
Haha..
Sema watu wafupi wengi ni bright aseeh
Ndio maana hata wanawake wa west africa they are giants as well
Huku kidada kifup kumkiss mpka akuvizie ukifunga kamba za viatu
Sasa warefu wengi ndio vibamia(wanasema)
Wafupi wanajua kupenda asikuambie mtu, na wamejaaliwa, Mungu hakunyimi vyote.
Wanawake wanaamini mwanaume mrefu, mwembamba anamaumbile yanakidhi haja bila shida!!Habari wana MMU,
Nimefanya utafiti mdogo sana nimebaini wanaume warefu ni chaguo la wanawake walio wengi katika suala nzima la mahusiano ya mapenzi.
Nimepita thread nyingi sana za kutafuta wachumba hapa JF, wanawake wengi hutoa sifa za mwanaume wanayemtaka na sifa pekee ambayo inatawala sana ni "mwanaume awe mrefu" kwanini wanaume warefu?
Wanawake nisaidie katika hili tukianza na Miss Natafuta.