Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 858
- 937
Habari wana MMU,
Nimefanya utafiti mdogo sana nimebaini wanaume warefu ni chaguo la wanawake walio wengi katika suala nzima la mahusiano ya mapenzi.
Nimepita thread nyingi sana za kutafuta wachumba hapa JF, wanawake wengi hutoa sifa za mwanaume wanayemtaka na sifa pekee ambayo inatawala sana ni "mwanaume awe mrefu" kwanini wanaume warefu?
Wanawake nisaidie katika hili tukianza na Miss Natafuta.