Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Wanaume warefu tuna confidence japo sio wote
haha, maajabu nilipokuwa kule kijijini kwetu nilikuwa ninajijua mimi ni super tall, nimegundua kua niko avarage baada ya kwenda kwenye miji ya watu.Ha ha ha sio mbaya au umesema tu baada ya kuona nmeweka 5.5
Mimi nina 4.3 mzeeHa ha ha ha mie simooo we mcheke tu
Sky ni mrefu mrefu anaonekanaHa ha ha sio mbaya au umesema tu baada ya kuona nmeweka 5.5
Ni kweli kabisa wanaume wanaoongoza kwa umalaya wengi wafupi alafu wanapenda sana wanawake wenye misambwnda ,nawapenda sana walefu wengi ni wastalabu na wasikivu wanajua kujali wanaheshima.
haha, maajabu nilipokuwa kule kijijini kwetu nilikuwa ninajijua mimi ni super tall, nimegundua kua niko avarage baada ya kwenda kwenye miji ya watu.
Kawaida yetu wanaume warefu tukipanda hatushuki!Habari wana MMU,
Nimefanya utafiti mdogo sana nimebaini wanaume warefu ni chaguo la wanawake walio wengi katika suala nzima la mahusiano ya mapenzi.
Nimepita thread nyingi sana za kutafuta wachumba hapa JF, wanawake wengi hutoa sifa za mwanaume wanayemtaka na sifa pekee ambayo inatawala sana ni "mwanaume awe mrefu" kwanini wanaume warefu?
Wanawake nisaidie katika hili tukianza na Miss Natafuta.
Hivi mzee urefu unaanzia ngapi
Mnatofautina kinoma.Average ni ft 5.9.
Hahahahahah haki ya Mungu kama kuna kaukweli vileWakiwa wadogo ndio wanachagua chagua,urefu ila wakikua miaka ya 28 kwenda mbele hua wanakesha makanisani na kumuomba Mungu aje yeyote tu
Mimi nina 4.3 mzee
Sky ni mrefu mrefu anaonekana
4.3" anafikia kitasa cha mlango kweli au taa anawashiwa na jirani?Ha ha ha ha mzee una 4.3 ndio maana mbish sana hzo si dumu mbili za maji ukizsimamisha
Mnatofautina kinoma.
Mmoja kasema 4'5
Mwingine 5'5
Wewe 5'9
Tehteh mzee ninaubishi mzee...Ha ha ha ha mzee una 4.3 ndio maana mbish sana hzo si dumu mbili za maji ukizsimamisha
Well said mkuu [emoji122][emoji122][emoji122]agata
1. Mwaume wa kutoka naye...
2. Mwanaume wa fasheni.....
3. Mwanaume wa kulingishia....
But mwanaume wa kuolewa nae nizaidi ya
-urefu
-ufupi
-unene
-wembaba
-weusi ama
-weupe
Wadada wasiku hizi mnakosa mabwana wakudumu kwasababu mnatafuta show up na fasheni.....matokeo yake ndoa nyingiiii zinaparaganyika hovyohovyo, simply because mnatafuta sifa za nje kwa wanaume matokeo yake kuvurugwa ....kuzalishwa halafu mitini.......sifa za nje ziwe kigezo chamwisho kama unatafuta bwana
1. Tazama background ya mume....wengine kwao kuowa nakuacha ndio tabia ya ukoo
2. Tazama ndoa zao wanadumu au hapana
3. Tazama utulivu, uvumilivu na uwezo wa kusamehe
4. Tazama weledi na focus
5. Tazama upole, upendo na huruma
6. Usisahau kutesti dushe yake....wengi siku hizi dushe ni legelege.....utalala njaa .....lakini nje ukimuona si ndo kifaa.....kumbe hana mpini anakikojeleo tu sio kifanyio.
urefu, ufupi nk utaishia kuzalishwa tuu then utajiju.
Ufupi unaraha zake bhana. Ukijirusha kitandani hakuna kuangalia upande maana pande zote unatoshea4.3" anafikia kitasa cha mlango kweli au taa anawashiwa na jirani?
Ha ha ha ha ha Daby umesikia huku unawashiwa taa
Ila dah 4.3 hatar sana hii kaz yake ni kuchukua vilivyo vya uvungun ndio anamudu
Tehteh mzee ninaubishi mzee...
Haha umenikumbusha text moja nilisoma eti jamaa alikuwa anawaponda wanawake wafupi.. wakivalia magauni mekundu njiani unafikiri vimitungi vile vidogo vya oryx haha