Molaro
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 818
- 577
Kwani ana futi ngapi?Pale magogoni kuna dwarf ujue
Kwani ana futi ngapi?Pale magogoni kuna dwarf ujue
Habari wana MMU,
Nimefanya utafiti mdogo sana nimebaini wanaume warefu ni chaguo la wanawake walio wengi katika suala nzima la mahusiano ya mapenzi.
Nimepita thread nyingi sana za kutafuta wachumba hapa JF, wanawake wengi hutoa sifa za mwanaume wanayemtaka na sifa pekee ambayo inatawala sana ni "mwanaume awe mrefu" kwanini wanaume warefu?
Wanawake nisaidie katika hili tukianza na Miss Natafuta.
Wazungu warefu lakini vidudu vidogo. Someni acheni ujanja ujanja.au na we kwasababu una jina la kipare tu assume na wewe kibamia?Haya kwaheri
Duuh.. ina maana itakuwa umenifikia juu kidogo ya maskio... 😀😀😀😀
Duuh.. Daby andunje.. sasa hiyo 4.3 nikikuletea ile manzi ndefu yenye chura mbona hutamweza.. yeye ana kama 5.8 .. Ndito moja ya kimasai exceptional kabisa..😀Mimi nina 4.3 mzee
Sky ni mrefu mrefu anaonekana
Hyo baba kweli, me nmelichukua demu refu kweli, basi so kwa kuogopwa huku na washikaj plus kufatwa na hao hao madem wanaoajiita warefuukitaka uonekane unajiamini ,uwe una-date na mademu waliokuzidi urefu tena sana..
itakua ulikua unapenda sana matoziUuuh I see. Basi enzi zangu nikiwa binti, mkaka kama unacheza basket utakuwa best angu sana. Nilikuwa naassume wakaka wote wacheza basket ni warefuuuu na mahandsome Hahaa
Masikini hao wafupi maumbile waliopewa na muumba wetu yashatiwa kasoroNimejaribu kupitia Facebook fan page ya ya JF na kuwngalia comment za kina dada/mama.
Nimegundua kwamba zaidi asilimia tisini ya wanawake wanapenda wanaume warefu.
Sababu za kuwapenda
1. Mvuto hasa wanapotembea nao
(Hii imeandikwa na karibu kila mwanamke aliesema anavutiwa na mwanaume mrefu)
2. Wanaamini ni wasikivu, waelewa, hawana gubu na sio wabishi kulinganisha na wanaume wafupi
3. Wanaamini wana maumbile makubwa hivyo kuamini kwamba wanawatosheleza kitandani.
4. Wanaamini wana mapenzi ya dhati na si wakorofi.
Nimejaribu kukumbuka kipindi fulani jamaa mmoja alikuwa mrefu sana ila ajabu ndiye aliyekuwa anaongoza kwa kukataliwa na wanawake.
Kila mrefu ana mrefu wake so wanaume wafu msikwazike mnapoona wanawake wakisema hawataki mwanaume mfupi, kiukweli wanawake walio wengi ni wafupi hivyo wanatafuta watu warefu kuliko wao. Mwanamk akiwa mrefu sana anakuwa exceptional alipo na kila mtu atashangaa urefu wake.
Nimewahi kuona/kusikia kwamba chini ya sm 150 unahesabika kama mtu mfupi.
Wafupi tafuteni hela kucover ufupi wenu
Ndiyo hivyo mkuu, ila wanawake hawajawahi kujua nini hasa wanakitaka kutoka kwa mwanaume.Masikini hao wafupi maumbile waliopewa na muumba wetu yashatiwa kasoro
..kama ni hivyo wallet ndefu haina ishu....labda wallet panaurefu wa wallet ndio unaozungumziwa hapa nadhani
njoo inboboAsante baba.kumbe wanawake wafupi wat**u eee
haaaha! Agatha we utakuwa umewahi kutendwa na andunjeWanaume wafupi wengi wahuni wahuni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mmh me napenda wafupiii afu awe na kitambi