Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Haha wacha weeeee. Afu kuna ile design mnabeba mipira mkononi kwa poziiiii, basi me nakufwaaaz.

Mmh mwenzangu ubinti ulishanikataa kitambo teh
Hahaha....karibu uangalie NBA basi upate uondo tena sasa hivi ndio imefika patamu kweli yaani full maufundi.

Na pia kuna Uzi njoo ujumuike angalia my post kabla ya hii.
 
Hahaha....karibu uangalie NBA basi upate uondo tena sasa hivi ndio imefika patamu kweli yaani full maufundi.

Na pia kuna Uzi njoo ujumuike angalia my last post kabla ya hii.
Naamini ubinti wako uliutumia vizuri.
 
Hahaha....karibu uangalie NBA basi upate uondo tena sasa hivi ndio imefika patamu kweli yaani full maufundi.

Na pia kuna Uzi njoo ujumuike angalia my post kabla ya hii.
Oooh owkey ngoja niutafute.
 
Wanawapenda kwakua wanaamini wakiwa warefu wana uume mrefu pia. Na wanawake wa siku hizi porn zimewaharibu basi kila mtu anataka awe na bwana mrefu mwenye "nonino" kama ya porn star. Mvuto sio kweli. Ni either pesa or maumbile makubwa ndio huvuta walio wengi
 
Kuna uzi ulikuwepo hapa jf unahusi vibamia kupewa nafc kubwa kwnye 6*6 naomba yule member aje aokoe jahazi wanaume wafpi wanashmbuliwa sana
Wako vizuri 6*6ndo maana wanacfa ya umalaya[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Habari wana MMU,

Nimefanya utafiti mdogo sana nimebaini wanaume warefu ni chaguo la wanawake walio wengi katika suala nzima la mahusiano ya mapenzi.

Nimepita thread nyingi sana za kutafuta wachumba hapa JF, wanawake wengi hutoa sifa za mwanaume wanayemtaka na sifa pekee ambayo inatawala sana ni "mwanaume awe mrefu" kwanini wanaume warefu?

Wanawake nisaidie katika hili tukianza na Miss Natafuta.
Si kwa wanaume tu hata wanawake urefu pekee ni mvuto. Nakumbuka bibi yangu Mungu amrehemu alikua anauambia live wajukuuzake kua hapendi kutuona na waanawake wafupi, anasema mwanamke mrefu hata km hana sura nzuri, au hana shape anapendeza tu. Akikuina na mwanamke mfupi anakwita anakwambia mduu tu lakin usioe wala kuzaa nae. Ilikua shida sana. She was serious.
 
Chi ndio hapo chacha!!
Wafupi wengi bright sanaaaa, alafu wanajituma, alafu naniliu wako vizuriiii......
Sijui nijiweke kundi Gani eti??? Naona huyu kawasifu warefu mwingine kawasifu wafupi. Dah nipo dilemma
 
Back
Top Bottom