Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,669
- 12,043
Dah ma tall tuna raha atii kwa kupendwa ukuu sio mchezo.Urefu ni mvuto.... Yani mtu akiwa mrefu automatic tu anavutia, then ndo vinafata vigezo vingine
Dah ma tall tuna raha atii kwa kupendwa ukuu sio mchezo.Urefu ni mvuto.... Yani mtu akiwa mrefu automatic tu anavutia, then ndo vinafata vigezo vingine
Ni kweli kabisa wanaume wanaoongoza kwa umalaya wengi wafupi alafu wanapenda sana wanawake wenye misambwnda ,nawapenda sana walefu wengi ni wastalabu na wasikivu wanajua kujali wanaheshima.kama kuna ukwel HV,, nikirejea kwa wafupi naowafahamu mtaan kwang ni wasumbufu sana
kwanini et?Kweli wewe ni Mr. Suprize
Sio kujiamini tu kwa uzoefu wangu mdogo wanaume wengi warefu wana true loveWanapokuwa na sisi wanajiamini sana, unajua mtu mrefu anakuwa na mvuto pia wasichukuliwe wanahisi ni watu wenye nguvu ( kwangu mimi navyodhani)
Sana yani unaweza kumshauri kitu anaona unamzarau kisa yeye mfupiAfu gubu sana plus inferiority complex wengi wao
Ft 5.7Mara ya mwisho December 2016 nilipima urefu wangu hospital moja hivi ilikuwa 177cm , sawa na futi ngap mkuu ?? mm hesabu chenga
[emoji15] [emoji3] [emoji25] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Apology accepted.
daah napenda unavyofunguka, serious mm ni tall hafu Nina sifa hizo, cjui ulijuaje agataNi kweli kabisa wanaume wanaoongoza kwa umalaya wengi wafupi alafu wanapenda sana wanawake wenye misambwnda ,nawapenda sana walefu wengi ni wastalabu na wasikivu wanajua kujali wanaheshima.
😀😀😀😀Sana yani unaweza kumshauri kitu anaona unamzarau kisa yeye mfupi
Hivi mzee urefu unaanzia ngapi
daah nashukuru kwa calculationFt 5.7
Na watoto wanadata na Mimi!Mbona mm nimfupi ila mwanamke hata awe mrefu kiasi gani akivua tu chup akiwa kitandani sitafuti hata ngazi nasimamia show vyema kabisa!
Unajipigia chapuo kichizi, usipong'oa chombo hapa uzembe huodaah napenda unavyofunguka, serious mm ni tall hafu Nina sifa hizo, cjui ulijuaje agata
Unajipigia chapuo kichizi, usipong'oa chombo hapa uzembe huodaah napenda unavyofunguka, serious mm ni tall hafu Nina sifa hizo, cjui ulijuaje agata