Kweli kabisa,sisi wanaume warefu tunajiamini sanaUrefu huongeze kujiamini
Halafu wanavisirani sana,tena ndio ukute umemzidi na urefu mbona utakoma.Wafupi wasumbufu
We binti mbona kama unanisema mimi eti..
Tatizo wenzio wanapagawaga na housing, bibie pia huwa haishi kuniambia ukweli kila nikimpa nyama kwamba anatoa ushuhuda (super tall ex) alikuwa anazingua kiwanjani bao za kuku, mashine hafifu halafu haikuwa tight.
Napenda watu wanaosema ukweli espy
Bhn we muongo, emb xema ukwelmmh me napenda wafupiii afu awe na kitambi
Mmmmmmh uzuri wa mwanaume unasaidia nn?Mi ft 5, but they love me that much. It must be the success that speaks more than height. Halafu sio urefu tuu, wanawake wanapenda pia boy handsome, unakuwa mrefu na sura km ya Inspecta Haroon, WTF!
Waambie wasikie, wanadanganywa na urefu kumbe jamaa ndio pasua kichwa mwishowe wanasema mapenzi mabaya!Alafu wafupi wako very charming, hauchoki wala kuboreka ukiwa nae.
Nnayo size ya kati kuelekea size kubwaHaya mambo ya kupenda wanaume warefu shoga yangu alimpata mkaka handsome balaa kumbe ana kibamia cha hatari. Shoga ana shangaa kila siku mwanaume anaishia kumkiss tu ndio siku kaweka mtego kaenda nae ndani kwake wakaanza romance na nini ndio by force mdada kuzama ikulu anakutana na kidole cha mtoto. Binafsi napenda size ya kati asiwe mrefu wala mfupi.
kama unavigezo hivyo wewe njoo inbobo tu mkuuBhn we muongo, emb xema ukwel
kumbe nawe unafahamu hiko mkuuAlafu wafupi wako very charming, hauchoki wala kuboreka ukiwa nae.
Haya mambo ya kupenda wanaume warefu shoga yangu alimpata mkaka handsome balaa kumbe ana kibamia cha hatari. Shoga ana shangaa kila siku mwanaume anaishia kumkiss tu ndio siku kaweka mtego kaenda nae ndani kwake wakaanza romance na nini ndio by force mdada kuzama ikulu anakutana na kidole cha mtoto. Binafsi napenda size ya kati asiwe mrefu wala mfupi.
kuna vingi sana navipenda kwa mwanamke Wa dream yang, ila kiufupi sana awe mcha Mungu.. unajua kama MTU ni mcha Mungu hawezi kukuigizia katika Mapenzi, kama hakupend kmapenz atakutell tu kwamba "sorry nna MTU mwngne nakuomba uangalie mwngne" maneno km haya hayawez kumchosha mwanaume,,, Mcha Mungu atakujal,atakushaur,atakuwa mkwel daima, atakusikiliza na kukuvumilia kwa kila hal, ,,, na ucha Mungu naozungumzia hapa sio kwenda kanisan/msikitini kila ibada, au kukaa bench la mbele karibu na pastor, au kukemea mapepo, au kubeba mikonon Quran /bible...uchaji Wa Mungu naozungumzia hapa ni matendo anayoyafanya nje ya nyumba za ibada, I think umenielewa ....
ila kikubwa tumshirikishe Mungu kwa kila jambo naye atatoa ushirikiano..
kwa kuongezea zaid napenda mwanamke mfupi ,ngoz maji ya kunde mwenye shape asilia not editing
kuhusu kufall in love nimewahi Mara mbili , ila huyu niliyenaye sasa amewazd wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unamanisha mita au[emoji23] [emoji23] uyu c o binadamu duu 4.5m4.5m
Ni vidishi vya Azam.Kama umemzidi Obama hayo sio masikio tena, ni antena hizo ndugu yangu