Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Aliyekwambia diamond mfupi kwa boss lady ni nani mond kwa zari ni mlefu mno hata wakiwa wanatembea inavutia hebu nenda insta kachungulie picha zao insta alafu uje unipe mlejesho by the way mbona povu linakutoka mkuu bila Shaka na ww utakuwa andunje
Diamond na huyo boss lady wanatumia majina gani insta, na ww unatumia lipi!?
 
Aliyekwambia diamond mfupi kwa boss lady ni nani mond kwa zari ni mlefu mno hata wakiwa wanatembea inavutia hebu nenda insta kachungulie picha zao insta alafu uje unipe mlejesho by the way mbona povu linakutoka mkuu bila Shaka na ww utakuwa andunje
Ha ha haaa,ufupi kwani mnaouongelea unaanzia futi ngapi?kwani diamond ni tall?
 
Mh inategemea mie wangu ni size ya kati si mrefu na nnampenda hatari Sijui hao wanaopenda warefu wanawapendea nn
 
Tembosa umedanganya kudadeki m4.5? ??
Hahaha kuna binadamu ana meter 4.5 au ulimaanisha feet. Maana hizo meter ni ft 15.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nicheke tu
 
Mwanaume mlefu raha Sana kwanza hua tunapenda tunapowaangalia tunavyonyanyua shingo juu pili tunajifeel secure tunapokuwa na wanaume walefu especial akikukumbatia it feels good kwa kweli wanaume hamtanielewa tatu Mkiwa mnatembea wote barabarani unakuwa na confidence huoni aibu hata kidogo hayo ni machache yupo mengi mnoo
point!!!
 
Back
Top Bottom