Dude don't take everything too serious you gonna die early.... just a little joke and you take it personally...
So what? Are you annoyed!
Dude don't take everything too serious you gonna die early.... just a little joke and you take it personally...
why would I???..So what? Are you annoyed!
why would I???..
would you dare to find out something that doesn't even exist??..Find out
would you dare to find out something that doesn't even exist??..
...si kweli mkuu kwa wanaume ni mita 300 kwenda juu....Kwa wanaume kuanzia ft 7 .5 wanawake kuanzia ft 5.8
Don't you think You're the one who should??....Then leave it.
Hamna mwanaume mwenye wivu kwa mwanamke alietulia. Hakuna!!! Its either una tabia zinazoamsha hisia za wivu kwa mwenzio ama ameshagundu kwamba unam cheat!Wanaume wafupi wana wivu na niwagumu kuelewa.....speaking from experience.
Don't you think You're the one who should??....
Sio kila mfupi hapendezi wewe labda jamaa yako hajui kujipangilia.🤣🤣🤣🤣Wanaume wafupi hawapo serious mud mwingi wanaleta masihara. Wakivaa hawapendezi
Hahahah wewe upo real sana basi, wanawake wanaopenda personality ya mtu wako wachache sanaSo...you guys don't get twisted kuhusu tall guys...huwa haieleweki some they tall but they have bamias others not, some are short but they have full packages some not....so hii kitu about urefu huwa haitabiriki aisee for instance mimi ni tall gal but nakuwaga adored sana na guys wafupi.
I think you're the one who keeps arguing till now....I thought you made a first quote on me .... God forbid.
🙌🙌🙌🙌🙌
😃😃😃 Basi utakua mrefu sanaaaNachojua mie nakuzidi urefu, sasa sijajua kama bado ntakuwa mfupi au la?
Very trueHuo urefu kwanza inategemea umesimama na nani.....normally wanawake wengi ni wafupi so wanaume wengi wanakua wamewazidi...pia ni kituko kwa mwanaume kuwa na mwanamke uliyemzidi nusu ya urefu wake...wanaume warefu ni wahuni na wanadharau sana...wengi sio smart kichwani just fanya research ndogo utaona wanaume wengi warefu wanafanya michezo, music na vitu kama hivyo bt hawa wafupi wengi ni viongozi, wachumi, nk wanajuhudi sana hata kwenye kusaka hela tofauti na matall ...am sorry mimi nina cm 170 cjui kama ni mrefu au mfupi
Umeona eeeeh 😂we mzee umeanza maneno yako mabovu siku nyingi hivyoo? ila kiukweli sisi warefu tunafaidi sanaaa basi tu
Sijakuelewa hapa mkuu fafanua kdgHahahahahahaa nilikua nipo kitaa kuna kadem nilikaomba namba kwa masiala kakaninyima kwa masiala akisema unataka namba alaf iweje aka mi naogopa
Ila Mchiz wa karib akasema mbn mm umenipa dem alimjibu wallah roho iliniuma aaaah nawe nikupeleke wapi