Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Wanachoamini ni kwamba, kila kiungo ni kirefu kwa huyo mwanaume,. Kwahiyo wanajua hata dushe ni refu.....
 
Well wanawake wanapenda mengi kutoka kwa wanaume warefu Ila kubwa kabisa wanawake kwa asili wanapenda kuonekana Sana.

Sisi watu warefu tunasifa nyingi lakini iliyo kuu ni kwamba tuko presentable na hiki kinapendwa na wanawake wengi sana

Pili hatuna usumbufu kama ndugu zetu wafupi

Tatu urefu wetu ni moja ya fact inayosukuma kuheshimika bed hii ni moja ya complement ambayo Naweza sema Mungu alitupendelea .
 
Warefu wa kitu gani.. Mi naona wanaune wenye mifuko mirefu ndo wanapendwa zaidi..
 
Mpododo but also dwarfs are very stupid n sturbon [emoji779] [emoji779] [emoji779] my apology though [emoji25] [emoji25] [emoji25] for such a harsh truth/reality
Uncle ki...... Nakutoa kafara hahahahhaa
 
Well wanawake wanapenda mengi kutoka kwa wanaume warefu Ila kubwa kabisa wanawake kwa asili wanapenda kuonekana Sana.

Sisi watu warefu tunasifa nyingi lakini iliyo kuu ni kwamba tuko presentable na hiki kinapendwa na wanawake wengi sana

Pili hatuna usumbufu kama ndugu zetu wafupi

Tatu urefu wetu ni moja ya fact inayosukuma kuheshimika bed hii ni moja ya complement ambayo Naweza sema Mungu alitupendelea .
Sure
 
Ase mm mwenyewe napata taabu Maana ni Kijana mrefu na Nina aibu Sana siwezi angalia mwanamke usoni lakini nikipita barabarani wanawake hunikodolea sana macho mpaka naona aibu Dah sijui nifanyeje.!!!
 
Habari wana MMU,

Nimefanya utafiti mdogo sana nimebaini wanaume warefu ni chaguo la wanawake walio wengi katika suala nzima la mahusiano ya mapenzi.

Nimepita thread nyingi sana za kutafuta wachumba hapa JF, wanawake wengi hutoa sifa za mwanaume wanayemtaka na sifa pekee ambayo inatawala sana ni "mwanaume awe mrefu" kwanini wanaume warefu?

Wanawake nisaidie katika hili tukianza na Miss Natafuta.
Ni kweli ila wana sifa ya kutokaa na wanawake kwa muda mrefu,angalizo sio wote ila wengi wao wana hiyo sifa.
 
Mimi ni mfupi, mweusi, nna kitambi af sina hela natafuta mwanamke[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]
 
Ukiona mwanamke anatafuta mwanaume mrefu ujue yuko chini ya miaka 30,

Wanawake walio juu ya 30, wao hawa hawachagui urefu, kwani na wao soko lishaisha yoyote twende,

Na ukijiona wewe mwanamke umevuka 30 na umekosa unayemtaka, jiangalie na wewe sifa zako, kwa nn umekosa?

Huenda na wewe sifa huna [emoji16]

Ila hawa 19-29 [emoji8]
 
Back
Top Bottom