Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Wanaume warefu wengi wastaarabu, wapole, wakarim, hawajisikii na wala hawana mihemko mikali ya kimapenzi
 
Acheni ujinga mbona magufuri anavutia japo yeye ni short.....
 
Wafupi wasumbufu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Afu gubu sana plus inferiority complex wengi wao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo kwenye gubu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamani mnatoa siri za wenza wetu tukichangia humu nymbn kutakalika[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ni kweli kabisa wanaume wanaoongoza kwa umalaya wengi wafupi alafu wanapenda sana wanawake wenye misambwnda ,nawapenda sana walefu wengi ni wastalabu na wasikivu wanajua kujali wanaheshima.
Hapo umesema naona wanataka wajitutumue wakidhani wataongezeka urefu
 
Back
Top Bottom