Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Saana!!! Ila sie wanawake warefu hatuchagui sana!!! Kila mwanaume anaekuja ni either mmelingana au umemzidiMnafurahi sana ehee
Saana!!! Ila sie wanawake warefu hatuchagui sana!!! Kila mwanaume anaekuja ni either mmelingana au umemzidiMnafurahi sana ehee
Itabidi nifanye hivyo mkuu, na wewe saidia wadogo zako sasahaaaha!! aisee saiz Niko vizuri, hata hivyo nipo mbioni kuandaa Uzi utakaohusu njia nilizotumia kupata suluhisho LA tatizo soon nitauweka kule, ila nawashukuru jf doctors wote nifikishie salamu
Hapa umesema ukweli maana mimi mfupi ningekushangaa umenipendea nini???Saana!!! Ila sie wanawake warefu hatuchagui sana!!! Kila mwanaume anaekuja ni either mmelingana au umemzidi
There you go Mr Suprize what mattes ni tabia na sifa za huyo unayetaka uwe naye basikuna vingi sana navipenda kwa mwanamke Wa dream yang, ila kiufupi sana awe mcha Mungu.. unajua kama MTU ni mcha Mungu hawezi kukuigizia katika Mapenzi, kama hakupend kmapenz atakutell tu kwamba "sorry nna MTU mwngne nakuomba uangalie mwngne" maneno km haya hayawez kumchosha mwanaume,,, Mcha Mungu atakujal,atakushaur,atakuwa mkwel daima, atakusikiliza na kukuvumilia kwa kila hal, ,,, na ucha Mungu naozungumzia hapa sio kwenda kanisan/msikitini kila ibada, au kukaa bench la mbele karibu na pastor, au kukemea mapepo, au kubeba mikonon Quran /bible...uchaji Wa Mungu naozungumzia hapa ni matendo anayoyafanya nje ya nyumba za ibada, I think umenielewa ....
ila kikubwa tumshirikishe Mungu kwa kila jambo naye atatoa ushirikiano..
kwa kuongezea zaid napenda mwanamke mfupi ,ngoz maji ya kunde mwenye shape asilia not editing
kuhusu kufall in love nimewahi Mara mbili , ila huyu niliyenaye sasa amewazd wote
Mbona baba zao ni wafupi kama kirikou,Habari wana MMU,
Nimefanya utafiti mdogo sana nimebaini wanaume warefu ni chaguo la wanawake walio wengi katika suala nzima la mahusiano ya mapenzi.
Nimepita thread nyingi sana za kutafuta wachumba hapa JF, wanawake wengi hutoa sifa za mwanaume wanayemtaka na sifa pekee ambayo inatawala sana ni "mwanaume awe mrefu" kwanini wanaume warefu?
Wanawake nisaidie katika hili tukianza na Miss Natafuta.
Safi sana, nzuri hiiThere you go Mr Suprize what mattes ni tabia na sifa za huyo unayetaka uwe naye basi
mfano mimi binafsi Mr Suprize nafikiri maswala ya eiza urefu au ufupi au six packs hayana nafasi kwangu,to me mwanaume means a lot na kuna mambo ambayo nikiona mwanaume anafanya au anabehave in that way kiukweli am turned on na najikutatu nampenda mfano napoona mwanaume ni caring ana confidence ana uwezo wa kusimama mbele za watu akajielezea au kutetea hoja zake bila kuhofia chochote like Tundu Lissu,loving hekima thats enough to me.
Nilipokuwa high level niliwahi kusoma na mkaka mmoja shotiii lakini confidence aliyokuwa nayo was amazing kiasi i felt like i could fall for him if i needed to.
Lakini hivi karibuni nimekuwa namwona mkaka fulani hivi mitaa fulani mkaka ni amazing kwa kweli kaenda hewani ana six packs za kutosha na kila nguo anayovaa inamkaa vizuri sana lakini hivi karibuni nimepata nafasi ya kumwona kiukaribu na kujua behavious zake,yaani ni kichefu chefu mtoto mdogo akasome yaani hafai kwenda wala kurudi,huyu hata nipewe bure simtaki na urefu wake namtaka yule shoti nliyesoma naye high level coz i feel safe with him.
so as for me what matters ni je una sifa na tabia za kiume?au ndo una maurefu tu afu umejaza makorokocho kichwani?
ukiwa na tabia na sifa za kiume navutiwa rahisi zaidi kuliko ukiwa mrefu afu una tabia kama zangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa umesema ukweli maana mimi mfupi ningekushangaa umenipendea nini???
Au urefu wa kule chini??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila mnapenda warefuSaana!!! Ila sie wanawake warefu hatuchagui sana!!! Kila mwanaume anaekuja ni either mmelingana au umemzidi
..hahahahaSifa nyingine ya wanaume warefu huwa ni Marioo. Kazi yao kubwa ni kushinda gym kutengeneza six packs ili wawavutie wadada.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125]mmh me napenda wafupiii afu awe na kitambi
Wachaweeeee ooooh okySijajua ni kwanini,mimi mwenyewe wananishobokea sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu mnamanenoo mtafikiri mmezaliwa uwani,,,,,?????!!!!!!Kama umemzidi Obama hayo sio masikio tena, ni antena hizo ndugu yangu
Wachaweeeee ooooh oky
Lizarazu unacheza basket?Nikionaga mwanaume mrefu alafu hachezi basketball wala hayuko interested kabisa na basketball, yaani yeye eti urefu wake ni kwa ajiri ya kuwavutia warembo na ndicho anachojivunia kwenye huo urefu wake......asee huyo mimi namuona kama wasted resource.
Uuuh I see. Basi enzi zangu nikiwa binti, mkaka kama unacheza basket utakuwa best angu sana. Nilikuwa naassume wakaka wote wacheza basket ni warefuuuu na mahandsome HahaaVibaya mno na nimewahi kuwa MVP kwenye michuano ya Umiseta iliyoandaliwa na pepsi.
Uncle acha uchochezi