Kama KabudiHapo sasa,na bahati mbaya umkute mtaalamu anaye amua kuutumia vibaya utaalamu huo kwa nia ovu,anakuwa ni hatari kweli kweli 🤔
Alikuwa wakili, kwenye Law Firm ya Marehemu Maira, akaingia serikalini kama Katibu wa Jaji nafikir baada ya hapo "mama mkwe" ndio akaanza kumshika mkono.Mchengelwa japo alishawahi kuwa katibu wa Jaji kiongizi lakini kichwani hamna kitu. Alishawahi kupewa mafaili Aandae hukumu akaandika Madudu tu. Bora alivyoingia siasani tu akafie huko
🛩️😅Na wote ni wanafunzi wa Prof.Kabudi,
Ukitaka kujua kama ni wanasheria kweli wapeleke kwenye yale mashauri ya Mahakama za kimataifa, hapo ndio utajua Uduni wa elimu yetu. Ni wanasheria kwa watu wasiojua ubora wa wanasheria, na ukiwafuatilia kiundani utakuta ni incompetent wa hatari.Hii imenipa furaha sana. Nimeipenda mno.
1. Jerry Slaa, Waziri Ardhi-Mwanasheria
2. Anthony Mavunde, Waziri Madini-Mwanasheria
3. Pindi Chana, Waziri Katiba na Sheria-Mwanasheria
4. Dr. Damas Ndumbaro, Waziri Sanaa na Michezo-Mwanasheria
5. Omary Mchengerwa, Waziri Tamisemi-Mwanasheria
6. Ummy Mwalimu, Waziri afya-Mwanasheria
7. George Simbachawene, Waziri Utumishi-Mwanasheria
9. Angela Kairuki, Waziri Maliasili-Mwanasheria
10. Ridhiwan Kikwete, Naibu Waziri Utumishi-Mwanasheria
11. Byabato, Naibu Waziri mambo ya Nje-Mwanasheria
12. Judith Kapinga, Naibu Waziri Nishati-Mwanasheria.
13. Geofrey Pinda, Naibu Waziri Ardhi-Mwanasheria
ALAFU MTU MTU TUU UNAMSIKIA ANASEMA WANASHERIA SIO WA KUWAAMINI. MCHAPE MTAMA HARAKA SANA.
Wanaheshimika kwa kuuza roho ya nchi kama bandari?Na wote ni wanafunzi wa Prof.Kabudi. Tukiachana na yote, Prof.Kabudi ni hazina adimu kwa Taifa, wanafunzi wake ni watu wa kuheshimika mno
Kuna "wanasheria" wanaoifanyia haki taaluma hiyo kama ilivyo katika taaluma nyingine zozote; na kuna "wanasheria maslahi" kama hao walioteuliwa ambao hawajui maana ya taaluma waliyo nayo ina maana gani.Hii imenipa furaha sana. Nimeipenda mno.
1. Jerry Slaa, Waziri Ardhi-Mwanasheria
2. Anthony Mavunde, Waziri Madini-Mwanasheria
3. Pindi Chana, Waziri Katiba na Sheria-Mwanasheria
4. Dr. Damas Ndumbaro, Waziri Sanaa na Michezo-Mwanasheria
5. Omary Mchengerwa, Waziri Tamisemi-Mwanasheria
6. Ummy Mwalimu, Waziri afya-Mwanasheria
7. George Simbachawene, Waziri Utumishi-Mwanasheria
9. Angela Kairuki, Waziri Maliasili-Mwanasheria
10. Ridhiwan Kikwete, Naibu Waziri Utumishi-Mwanasheria
11. Byabato, Naibu Waziri mambo ya Nje-Mwanasheria
12. Judith Kapinga, Naibu Waziri Nishati-Mwanasheria.
13. Geofrey Pinda, Naibu Waziri Ardhi-Mwanasheria
ALAFU MTU MTU TUU UNAMSIKIA ANASEMA WANASHERIA SIO WA KUWAAMINI. MCHAPE MTAMA HARAKA SANA.
Huenda na yeye ni 'mwanasheria kanjanja', kama hao aliowaorodhesha mwenyewe.Kwa nini imekupa furaha sana??
KABUDI KAMA NI HAZINA MPENI UWAZIRI MKUU atatufaa sanaNa wote ni wanafunzi wa Prof.Kabudi. Tukiachana na yote, Prof.Kabudi ni hazina adimu kwa Taifa, wanafunzi wake ni watu wa kuheshimika mno
Watu wengi wa Utawala wanakuwaga wanasheria, tofauti na hapo inakuwa ni bahati.Hii imenipa furaha sana. Nimeipenda mno.