Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,434
pole sana.Nalog off
Mbona kama unataka kuchafua CV ya Reverend bwana? lol
Nashangaa sana. Ningekua sikujui ningeingia shaka hapa. hahahahaUmeona eeeehh M ......o
YUPO ONLINE KWA SASA NIMEMUONA MAHALI YAANI NAJISKIA KUZIMIA KABISA
Smile ngoja usije ukakuta ni mimi hapo
haniwezi kwanza yaani ni jinsi alivonisumbua nije dar kumbe hamna lolote nachukia limwanaume liongo jamani dah?
mashalaaah ..mtoto kamzimia rev masanilo.ndege tunduni tayari
There's a very thin line between love and hate.... Who knows what tomorrow will bring!
Kiukweli na malaika ni mashaidi mimi ni mtu wa upendo sana kwa watu ila kuna mtu humu yaani amenikaa kooni i hate him with all my heart yaani nikiona id yake ,hata mapigo ya moyo yanaongezeka daah yaaani kweli moyo wangu umekaa nae vibaya kabisa
YUPO ONLINE KWA SASA NIMEMUONA MAHALI YAANI NAJISKIA KUZIMIA KABISA
Smiles Kid sis.... take this quote;
Whenever you are Confronted by an Opponent/Enemy - Conquer them with Love
(Mahatma Ghandhi)
Yes ... sometimes if you hate with passion .... you end up.. Missing him ... and you know what is next .. definitely it wiill be the vicious circle ! Its true hates attaches you almost permanently with its cause ... Lol .. d .r ope i t!!
Chuki inatengeneza sumu inayokuumiza wewe mchukiaji wakati mchukiwa hata hajui kama unamchukia.
Chuki inatengeneza sumu inayokuumiza wewe mchukiaji wakati mchukiwa hata hajui kama unamchukia.