Kuna mtu namchukia humu jf

Kuna mtu namchukia humu jf

Status
Not open for further replies.
Pole mwaya hayo ni mafundo ya maisha .......usiweke chuki wala vinyongo moyoni maana vitakutesa mwenyewe.
 
Sidhani?una mchukia m2 umekutana nae humu,nadhani ni ushamba.call me Pozi
 
Kwa nini umchukie hivyo?kuna kitu mbaya amekufanya?let's love each other my dear sister.
 
Hii sredi imekaa ki Zinduna Zinduna na ki mpoleee mpoleeee lol

Usikute hakuna hata huyo mtu anayechukiwa...

Ngabu huyu mtoto wa kike anatuzingua tu wazee wazima na mvi zetu za pua. Mpotezee kimtindo! Dizaini kapigwa kitu kamwagwa anakuja kuondoa stress zake humu!
 
Smile bwana unanifurahisha sana dadangu. Siku hizi haipiti siku hujanikenulisha haya mapengo!
Sasa ilikuwaje hata mkakutana au kuanza kuwasiliana na simu? Umejuaje kama ni mwanaume au mwanamke?

Pole lakini.
 
Heri ya Mwaka Mpya dada. Umevuka salama? Kisses to your loved ones!

Smile samahani sijatoka nje ya mada bali nakupa njia tu ya kukiondoa hicho kinyongo chako!
 
Hizi ni valeur unamchukia mtu mliyetengenezwa na kiwanda kimoja?ajabu is ur brother from another mother don't hate him!
 
Kiukweli na malaika ni mashaidi mimi ni mtu wa upendo sana kwa watu ila kuna mtu humu yaani amenikaa kooni i hate him with all my heart yaani nikiona id yake ,hata mapigo ya moyo yanaongezeka daah yaaani kweli moyo wangu umekaa nae vibaya kabisa
YUPO ONLINE KWA SASA NIMEMUONA MAHALI YAANI NAJISKIA KUZIMIA KABISA

Mtu huyo ni Ndetirima anayechukiwa sana, wengine wote msiwe na wasiwasi nimeamua kujitaja mwenyewe ili isiwe tabu.
 
Hahaha, Smile u of all the people! Mbona unampa bichwa! Sasa huko kazini boss wako akikutaka, can u put ur foot down, say no, and be proffessional?! U gotta grow up gal, the world is no candy stick,kha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom