ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,555
Hii sredi imekaa ki Zinduna Zinduna na ki mpoleee mpoleeee lol
Usikute hakuna hata huyo mtu anayechukiwa...
aisee huyo zinduna sijui yupo wapi..
Hii sredi imekaa ki Zinduna Zinduna na ki mpoleee mpoleeee lol
Usikute hakuna hata huyo mtu anayechukiwa...
Inakuaje mtu unae mchukia akupagawishe kiasi hicho? eti mapigo ya moyo yanenda mbio kwa hasira ya kukumbuka alivo muomba penzi? duh!Nafikiri huo ndo ukweli wenyewe!
La ufunguo!
Usiulizetena.."Ufunguo gani"!oa
aisee huyo zinduna sijui yupo wapi..
sipendi mtu tapeli cause nilikuwa ar akaniambia nije kwa interview dar nilipoteza hela zangu na time for nothing jamaniinakuaje mtu unae mchukia akupagawishe kiasi hicho? Eti mapigo ya moyo yanenda mbio kwa hasira ya kukumbuka alivo muomba penzi? Duh!
siko hvo nn tena nimeazimia mwaka huu sianzishi thread kabisa.
Kwanza ukiona thread ya "kuna member" basi ujue ndio hizo. Once in lazima utakuta ni kitu cha kuhusisha love and hate... alafu lazima ioneshe mwanaume ana roho mbaya, but mwanamke alivutiwa somehow (bila yeye kukubali kama alivutiwa). Ukisha iona hiyo, go grab your beer/pepsi and some popcorn, the show will start soon. lolKuna patterns flani flani humu siku hizi zinashika kasi sana. Mine eyes can see through them....lol
Sasa si usahau tu? Kwani anaendelea kusumbua?sipendi mtu tapeli cause nilikuwa ar akaniambia nije kwa interview dar nilipoteza hela zangu na time for nothing jamani
nimeliona ilo tapeli sijui nimtaje?
Hakuwezi wakati wewe unamuwaza kila ukiona jina lake mapigo ya moyo yanenda mbio, unataka hata kulog off? Smile bwana!haniwezi kwanza yaani ni jinsi alivonisumbua nije dar kumbe hamna lolote nachukia limwanaume liongo jamani dah?
my love for u will never die my angel brother