Kuna mtu namchukia humu jf

Status
Not open for further replies.
nooo ujue mimi jf niliijua siku nyingi sema sikuwa nimejisajili sasa huyo kuna kipindi nilikuwa natafuta job nikaona tangazo nikatuma cv cause alikuwa ametoa email
nilipofika akaniambia eti anataka mapenzi ndo anipe hiyo job kazi yenyewe ya laki tano mpuuuzi kweli.halafu huku anajifanya mstaarabu.

dah! Umeamua kuniua live? Tatizo nilipokuona ulinimix sana hasa hapo btn center. Tatizo ulivyoondoka hukuonyesha kukereka. Ila sijutii kukuomba maana...
 
The way kid sis alivoandika... It is as if ni kind of hate ile ya "thin line btn Love and hate" lol

Itabidi leo nimuulize vizuri tukifika home....

Hah hh ... hiyo ni mihimu siumeshasikia vijana mjini ... they keep on harassing the lady ...she helplessly hate and hate mwishowe ... mysteriously ... she gives in ...I am sure that isnt what is happening ... Zinafikiaga kuwa ndoa ... tena zile za kitajiri ... zinadumu siku 7 the most ... dunia nzima ... inashanga... kumbe it was hate related love ... lol!
 
Hivi burudani inaruhusiwa hapa? (Courtesy ya Mr Flavor)

get am plenty plenty plenty, looking for sexy sexy sexy,
I want some mpolomponto mpompompo,
waka waka baby... buru buru baby... kona kona baby..
ana gona tell ma' mama.... ana gona tell ma papa... na gona tell them say

baby sawale sawa sawa sawaleee sawa sawa sawaleee isssshhhhh!

Mpompo mpolomtomtooo... Mpompo mpolomtomtooo...
aaah' aaah' aaah' aaah' Mpompo mpolomtomtooo...
 
Huyo ungemtaja tu Smile,tuepukane nae bwana....hawa wauza kazi kwa gharama ya miili yetu ni watu hatari sana, mtaje please!!
 
Hah hh ... hiyo ni mihimu siumeshasikia vijana mjini ... they keep on harassing the lady ...she helplessly hate and hate mwishowe ... mysteriously ... she gives in ...I am sure that isnt what is happening ... Zinafikiaga kuwa ndoa ... tena zile za kitajiri ... zinadumu siku 7 the most ... dunia nzima ... inashanga... kumbe it was hate related love ... lol!

Love haina adabu AJ.... Fikiria jamaa mpaka kasababisha my kid sis mtaalam wa customer care upande wa under-mods amrushie uzi hivi? lol
 
we Smlile wee,si unitaje tu yaishe bana? kwani kukukopa ndo unichukie hivo,kha!
 
Basi sahau tu. Kumkatalia ni jibu tosha, umempa ujumbe kua wewe na yeye sio sawa, hamuwezi kuchanganya (I hope you said no). Sasa ukimchukia bado unamrudisha katika maisha yako, una mpa nafasi ya kuusumbua moyo wako. Just ignore him, ukimuona acknoweledge the feeling kwa sekunde alafu endelea na browsing yako.
Hapana Roulette,alikubali,si ndo unaona ugomvi sasa? mi namshangaa mambo ya faragha kaja yamwaga hazarani,lol!Kibaya zaidi na kazi anaendelea nayo,sasa sijui nimtimue? ushauri please.
 
Hapana Roulette,alikubali,si ndo unaona ugomvi sasa? mi namshangaa mambo ya faragha kaja yamwaga hazarani,lol!Kibaya zaidi na kazi anaendelea nayo,sasa sijui nimtimue? ushauri please.
Nna hasira zako, uncheki nikukabidhi kabla giza halijazidi..
 
Oh' jamani raha jamani.... I wonder why wengine hawapatani na wifi zao.

Love you more sweet wifi of mine.
Lol... Thanks a lot my only wifi,...wasiopatana na mawifi zao kaki wanayo, sie akuuu kwa raha zetu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom