Kuna mtu namchukia humu jf

Status
Not open for further replies.
Actually you got it wrong, the fact that you hate somebody is not worth the noise you've been making. On the other hand though, how high is your price might just get you the attention you needed

I'm just sayin'
uyou can say whatever you like,whatever u think.but that the truth i hate him realy and nothing will change ma hate for him
 
Kiukweli na malaika ni mashaidi mimi ni mtu wa upendo sana kwa watu ila kuna mtu humu yaani amenikaa kooni i hate him with all my heart yaani nikiona id yake ,hata mapigo ya moyo yanaongezeka daah yaaani kweli moyo wangu umekaa nae vibaya kabisa
YUPO ONLINE KWA SASA NIMEMUONA MAHALI YAANI NAJISKIA KUZIMIA KABISA

Naomba kukukumbusha neno la MUNGU lisemalo "Mpende jirani yako kama nafsi yako" na amri kuu ya MUNGU kumbuka ni UPENDO
 
Kwa experince yangu,wanawake wanaosema wanamchukia mwanaume fulani mwisho wa siku hujikuta wapenzi wa huyo mwanaume so watch out Smile
 
Ungemtaja kwa jina lake,utoe na sababu za kumchukia,huwezi jua unaweza ukawa sababu ya kumbadilisha kama kweli anamapungufu ambayo yanakukera na sembuse anakera wengi,so kuwa muwazi tu ili ajijue na wewe upate nafuu,na nadhani itakuwa vyema maana lengo ni kurekebishana kila penye kasoro....so be open mamaaa
 
Nadhani mjadala umeishi, Smile keshamtaja, mtuhumiwa keshajijua, wazoefu tumeshahitimisha.
Smile kasema huyo mtu ID yake inaanzia na M na inaishia na O, bila shaka watamalizana na amani ya mpendwa wetu Smile itarejea na atasamehe mazima.
PEACE!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom