Wawezaje kumpata mtoto wako aliyezaliwa kwenye boma ya mtu mwingine?

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Wajumbe wenzangu ni vipi, mimi swalamaa kabisa.

Nikasema tupeane chakula cha ubongo kidogo si unajua tena mambo mengi muda mchache. Du leo nikasema hebu tushauriane kidogo mana haya mambo yapo bana yaweza kukukuta hata wewe, so tusiyachukulie pouwa. Katika pilikapilika za maisha, ilitokea bana dada mmoja akatokea kunipenda balaa.

Dada mwenyewe mrembo, mrefu, sura inaita, alaf ana macho. Du nikawa kama namwelewa, sema du ni mke wa mtu bana. Mme wake tulishawahi fanya naye kazi kipindi fulani japo si kwa muda sana, akawa amepata transfer.

Mke wake yeye alibaki around coz naye alikuwa mwajiriwa, ila kitengo tofauti. Mdau bana akaelekea, so akawa anakuja mara moja moja kumpa hi wife. Katika kipindi ambacho walikuwa pamoja (eneo moja la kazi), walikuwa wanatofautiana kutokana na sababu kwamba huyo mjumbe alikuwa harsh, nikawa natumia jitihada mbalimbali kuwapatanisha, so wife yake akawa ameongeza ukaribu na na mimi na kuniona wa maana sana kwenye maisha yake. Kumbe by then nilivyokuwa najiinvolve kwenye mambo yao, hasa usuhishi, ndivyo upendo ukazidi (ukahamia kwangu). Ilifika mahali akawa ananishirikisha mambo mengi ya familia yao, na sometimes nilikuwa naingia hata some cost, ulimradi tu ninusuru hali.

Mh dada kumbe ana lake moyoni, anataka anisanue, ila du nafsi yasita (mda huo mimi sina hili wala lile). Jamaa yule bana alikuwa anakunywa, so even dos terrible situations walizokuwa wanapitia, sometimes was influenced by Kamnyweso. Duh, tuachane na hayo bana. 🕙 One moment nikiwa nimechill zangu, sina hili wala lile, mara pap ikadondoka text toka kwa shem "shem hi." Nikarepply "hi," uko pouwaa nikamjibu niko pow. Akanitext tena Love u, nikasita kujibu, but after sometime nikarepply, nilidhani kakosea number.

Kama wiki hivyo ikapita akanitumia tena text hi shem nikarepply. Akanambia upo wapi, nikamwambia home, akanambia naomba naomba niwe mgeni wako leo? Nikamwambia karibu. (Nilidhani anatania). Du baada ya kama nusu saa, mwamba huyu hapa mhhh kjipodoa balaa, ananukia mh mapigo ya moyo yakaanza kubishana. Mh shem akakimbilia kunihug mmmmmm "shem nimekumic" "huonekani" "ukishaingia humu ndani hutokagi" nikamwambia mimi mbona nipo sana.

Nikamkaribisha akakaa "Shem unatumia kinywaji gani?" "Mh shem na wewe usihangaike" "Hamna sema tu" Mh naomba sprite nikamtania, mmmm acha bana shem za "wagumu hutumii." "Shem bana situmiagi najaribugi tu mara moja moja kwenye matukio" (akatulia kidogo then akanitjia) "naomba the pride of Africa." Nikazama nikafanya muamala nikarudi. Piga vutu, lete stori, akaanza kunifungukia mwanzoni mwisho huwezi amini. Alikuwa anaongea kwa hisia, huwezi amini. Nikawa siamini, mmmmmh shem ananichora au?

Mmmh, we spent almost 2 hours dere, akinipa stori za maisha, yake na badiliko la mumewe, kwani anasema almost a month hapokei simu yake na anamuda hajaja kumpa hi, and one time alipocal alipokea mwanamama na kukata papo hapo. Nikatumia muda mwingi kumfariji na kumuencourage kwamba everything is ok. Mh kadiri muda ulivyokwenda, shem akazoea kunitembelea, ikawa ni kama kawaida. Katika mwendelezo wa safari, tukajikuta one moment "ikatokea dharura" na akaniapreciate sana, then akarudi tena na tena.

Some few moments akaomba ruhusa ya wiki moja (sababu za kifamilia), huyo akaelekea kumjulia hali mme wake. Alipofika, anasema mme alishtuka na naye kama alikuwa anahisi hakuridhia ugeni huo (means hakuwa comfortable). Anasema kulikuwa na kila dalili kwamba kulikuwa na jambo lilikuwa linaendelea upande wa pili, coz anasema pia kuna kanga alikuta ila akaambiwa anaitumia kama taulo, japo ilimpa wasiwasi. Akaspend there almost a week. Wakayajenga somehow wakatulizana.

Akarudi mitaa akanipa stori za safari, tukafurahi. Safari ikaonekana kuwa yenye matunda, kwani baada ya miezi 9, alipatikana mgeni (akanijuza "mmefanana sana"). (Sikuwa nimefanikiwa kumuona dogo) Alienda kula uzazi kwa mume wake (katika kipindi cha ujauzito, alikuwa ananiambia Nahisi ni wewe). Mh, nimekuja kumwona dogo, ni damu yangu, kabisa yaani du, huwezi uliza baby by. Anasema jamaa hajastuka, naye kafurah mbaya.

Ila nampataje waungwana, nisijesababisha tafran, yupo kwa boma ya mtu.
 
Sheria inasema hivi ukizaa na mke wa mtu hauna haki ya umiliki wa mtoto huyo.

Labda Kama unataka kifo.

Unaweza try at your own risk.

Na risks yenyewe labda uivuruge ndoa hio waachane upate nafasi ya kummiliki au baba mzazi awe amekufa but bado ni ngumu Pana ndugu wa mume Sio rahisi kuafiki hilo.
 
Ninachoweza kukujulisha kama ni kweli umezaa na mke wa mtu ujue huyo mtoto atakapokuwa mkubwa hawezi kuwa na amani na hali hiyo itamtesa sana akifikiria jinsi alivyopatikana na hatapenda itokee kwa watoto wake.

Hawezi kukuona ni baba wa thamani bali atakuona ni mkosaji. Pia kuna wakati atasimangwa sana na mwenzake watakapooana. Lakini pia hata wewe hiyo laana itakutesa kabla hujafa.

Kwa hiyo hilo sio jambo la sifa kulizungumzia
 
Oya kwa mujibu wa calculator yangu Umeandika maneno 566 na Herufi 3929.
Bila kucha nafasi wala Aya..

Hujatendea hadhira yako haki.., Achilia mbali kuandika kihuni
 
Wajumbe wenzangu n vp,Mimi swalamaa kabisa.Nikasema tupeane chakula cha ubongo kidogo si unajua Tena mambo mengi muda mchache. Du leo nikasema hbu tushauriane kidogo mana haya mambo yapo bana yaweza kukukuta hata wewe so tusiyachukulie pouwa. Katika pilikapilika za maisha ilitokea bana dada mmoja akatokea kunipenda balaa.

Dada mwenyewe mrembo, mrefu, sura inaita,alaf ana macho😂 Du nikawa kama namwelewa sema du n mke wa mtu bana. Mme wake tulishawahifanya nay kaz kipindi flan japo si kwa muda sana akawa amepata transfer.

Mke wake yeye alibaki around coz naye alikuwa mwajiriwa ila kitengo tofauti.Mdau bana akaelekea so akawa anakuja mara Moja Moja kumpa hi wf. Katik kipindi ambach walikuwa pamoja (eneo Moja la kazi) walikuwa wanatofautina kutokana na sababu kwamba huyo mjumbe alikuwa harsh nikawa natumia jtihada mbalimbali kuwapatanisha so wf ake akawa ameongeza ukaribu na n mm na kuniona wa maan San kwenye maisha yake.Kumbe by then nilivyokuwa najiinvolve kwenye mambo yao hasa usuhishi ndivy upendo ukazidi(ukahamia kwangu)Ilifika mahali akawa ananishirikisha mambo mengi ya familia yao na sometime nilikuwa naingia hata some cost ulimradi tu ninusuru hali.

Mh dada kumbe ana lake moyoni anataka anisanue ila du nfsi yasita (mda huo Mimi sina hili wla lile)Jamaa yule bana alkuwa anakunywa so even dos terrible situation walizokuwa wanapitia sometimes was inluenced by Kamnyweso. Duh tuachane na hayo bana🕙 One moment nikiwa nimechill zangu sina hili Wala lile mara pap ikadondoka text toka toka kwa shem "shem hi" nikarepply "hi"uko pouwaa nikamjibu niko pow.akanitext tn Love u, nikasita kujib but after sometime nikarepply nilidhani kakosea number.

Kama wiki hv ikapita akanitumia tn text hi shem nikarepply.Akanambia upo wp ,nikamwambia hm akanambia naomba naomba niwe mgen wko Leo?nikamwambia karb.(nilidhani anatnia) du baada ya kama nusu saa mwamba hyu hapa mhhh kjipodoa balaa ananukia mh mapigo ya moyo yakaanza kubishana.Mh shem akakimbilia kunihug mmmmmm "shem nimekumic" "huonekani" "ukishaingia humu ndani hutokagi" nikamwambia Mimi mbona nipo sana.

Nikamkaribisha akakaa "Shem unatumia kinywaji gani" "mh shem na wewe usihangaike" "Hamna sema tu" Mh naomba sprite nikamtania mmmm acha bana shem za "wagum hutumii" "shem bana stumiagi najaribugi tu mara Moja Moja kwenye matukio(akatulia kdogo then akanitjia "naomba the pride of Africa" nikazama nikafanyamuamala nikarudi.Piga vutu ,lete stor,akaanza kunifungukia mwanzoni mwisho huwezi amini.Alikuwa anaongea kwa hisia huwezi amini.Nikawa siamini,mmmmmh shem ananichora au?

Mmmh we spent almost 2 hourz dere,akinipa stor za maisha , yake na badiliko la mumewe kwani anasema almost a month hapokei simu yake na anamuda hajaja kumpa hi,and one tym alipocal alipokea mwanamama na kukata papo hapo.Nikatumia muda mwingi kumfariji na kumuencourage kwamba everything is ok.Mh kadiri muda ulivyokwenda shem akazoea kunitembelea ikawa ni Kama kawaida.Katika mwendelezo wa safari tukajikuta one moment "ikatokea dharura" na akaniapreciate sana, then akarudi Tena na Tena.

Some few moment akaomba ruhusa ya wiki Moja (sababu za kifamilia)huyo akaelekea kumjulia hali Mme wk.Alipofika anasema Mme alishtuka na n kama alikuwa anahisi hakuridhia ugeni huo(means hkuwa comfortable )Anasema kulikuwa na kila dalili kwamba kulikuwa na jambo lilikuwa linaendelea upande wa pili co z anasema pia Kuna kanga alikuta ila akaambiwa anaitumia Kama taulo japo ilimpa wasiwasi.akaspend there almost a week.Wakayajenga somehow wakatulizana.

Akarudi mitaa akanipa stor za safari tukafrahi.Safari ikaonekana kuwa yenye matunda Kwan baada ya miezi 9 alipatikana mgeni. (akanijuza "mmefanana sana"(skuwa nimefanikiwa kumuona dogo) Alienda kula uzz kwa mume wake (Katk kipindi cha uj uzit alikuwa ananiambia Nahisi ni ww)Mh nimekuja Kmuona dogo ni damu yang kbc yn du huwezi uliza baby by.Anasema jamaa hjastuka naye kafrah mbaya.

Ila nampatj waungwana nisjesababisha tafran yupo kwa boma ya ntu
Kweli Mungu ana maajabu yake, uandishi mbovu kama huu bado una nguvu za kumtia mtu mimba? Ushauri subiri mtoto akutafute sio wewe umtafute, unaposikia mke wa mtu sumu uelewe ni sumu kweli
 
Ujinga tu...🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮

Umezunguka weeee maelezo mabovu kisa tu kulala na kumzalisha mke wa mtu. Kama hiyo haitoshi bado eti unaomba ushauri wa jinsi ya kumpata mtoto wako! 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮

Hapo unajiona mjanja hatari kumbe hata huijui hatari unayojiingiza. Dhambi hiyo itakurudi tu na kukutafuna. Hakuna mtu aliyeingilia na kuvuruga ndoa/familia ya mtu mwingine na akabaki salama...🚮🚮🚮🚮🚮
 
Wajumbe wenzangu n vp,Mimi swalamaa kabisa.Nikasema tupeane chakula cha ubongo kidogo si unajua Tena mambo mengi muda mchache. Du leo nikasema hbu tushauriane kidogo mana haya mambo yapo bana yaweza kukukuta hata wewe so tusiyachukulie pouwa. Katika pilikapilika za maisha ilitokea bana dada mmoja akatokea kunipenda balaa.

Dada mwenyewe mrembo, mrefu, sura inaita,alaf ana macho😂 Du nikawa kama namwelewa sema du n mke wa mtu bana. Mme wake tulishawahifanya nay kaz kipindi flan japo si kwa muda sana akawa amepata transfer.

Mke wake yeye alibaki around coz naye alikuwa mwajiriwa ila kitengo tofauti.Mdau bana akaelekea so akawa anakuja mara Moja Moja kumpa hi wf. Katik kipindi ambach walikuwa pamoja (eneo Moja la kazi) walikuwa wanatofautina kutokana na sababu kwamba huyo mjumbe alikuwa harsh nikawa natumia jtihada mbalimbali kuwapatanisha so wf ake akawa ameongeza ukaribu na n mm na kuniona wa maan San kwenye maisha yake.Kumbe by then nilivyokuwa najiinvolve kwenye mambo yao hasa usuhishi ndivy upendo ukazidi(ukahamia kwangu)Ilifika mahali akawa ananishirikisha mambo mengi ya familia yao na sometime nilikuwa naingia hata some cost ulimradi tu ninusuru hali.

Mh dada kumbe ana lake moyoni anataka anisanue ila du nfsi yasita (mda huo Mimi sina hili wla lile)Jamaa yule bana alkuwa anakunywa so even dos terrible situation walizokuwa wanapitia sometimes was inluenced by Kamnyweso. Duh tuachane na hayo bana🕙 One moment nikiwa nimechill zangu sina hili Wala lile mara pap ikadondoka text toka toka kwa shem "shem hi" nikarepply "hi"uko pouwaa nikamjibu niko pow.akanitext tn Love u, nikasita kujib but after sometime nikarepply nilidhani kakosea number.

Kama wiki hv ikapita akanitumia tn text hi shem nikarepply.Akanambia upo wp ,nikamwambia hm akanambia naomba naomba niwe mgen wko Leo?nikamwambia karb.(nilidhani anatnia) du baada ya kama nusu saa mwamba hyu hapa mhhh kjipodoa balaa ananukia mh mapigo ya moyo yakaanza kubishana.Mh shem akakimbilia kunihug mmmmmm "shem nimekumic" "huonekani" "ukishaingia humu ndani hutokagi" nikamwambia Mimi mbona nipo sana.

Nikamkaribisha akakaa "Shem unatumia kinywaji gani" "mh shem na wewe usihangaike" "Hamna sema tu" Mh naomba sprite nikamtania mmmm acha bana shem za "wagum hutumii" "shem bana stumiagi najaribugi tu mara Moja Moja kwenye matukio(akatulia kdogo then akanitjia "naomba the pride of Africa" nikazama nikafanyamuamala nikarudi.Piga vutu ,lete stor,akaanza kunifungukia mwanzoni mwisho huwezi amini.Alikuwa anaongea kwa hisia huwezi amini.Nikawa siamini,mmmmmh shem ananichora au?

Mmmh we spent almost 2 hourz dere,akinipa stor za maisha , yake na badiliko la mumewe kwani anasema almost a month hapokei simu yake na anamuda hajaja kumpa hi,and one tym alipocal alipokea mwanamama na kukata papo hapo.Nikatumia muda mwingi kumfariji na kumuencourage kwamba everything is ok.Mh kadiri muda ulivyokwenda shem akazoea kunitembelea ikawa ni Kama kawaida.Katika mwendelezo wa safari tukajikuta one moment "ikatokea dharura" na akaniapreciate sana, then akarudi Tena na Tena.

Some few moment akaomba ruhusa ya wiki Moja (sababu za kifamilia)huyo akaelekea kumjulia hali Mme wk.Alipofika anasema Mme alishtuka na n kama alikuwa anahisi hakuridhia ugeni huo(means hkuwa comfortable )Anasema kulikuwa na kila dalili kwamba kulikuwa na jambo lilikuwa linaendelea upande wa pili co z anasema pia Kuna kanga alikuta ila akaambiwa anaitumia Kama taulo japo ilimpa wasiwasi.akaspend there almost a week.Wakayajenga somehow wakatulizana.

Akarudi mitaa akanipa stor za safari tukafrahi.Safari ikaonekana kuwa yenye matunda Kwan baada ya miezi 9 alipatikana mgeni. (akanijuza "mmefanana sana"(skuwa nimefanikiwa kumuona dogo) Alienda kula uzz kwa mume wake (Katk kipindi cha uj uzit alikuwa ananiambia Nahisi ni ww)Mh nimekuja Kmuona dogo ni damu yang kbc yn du huwezi uliza baby by.Anasema jamaa hjastuka naye kafrah mbaya.

Ila nampatj waungwana nisjesababisha tafran yupo kwa boma ya ntu
Hapo ni umepanda mahindi shamba la jirani. Ni salama zaidi kumuacha huyo mtoto huko aliko kuliko kujiambia eti damu yako haiwezi kupotea.

Akikua utakua unamsalimia tu lakin sio ajue kua we ni mshua wake.
 
Back
Top Bottom