Kuna mtu namchukia humu jf

Kuna mtu namchukia humu jf

Status
Not open for further replies.
Naamini si mimi lakini!...kama ndiye basi nitaje tu, unajua kwetu sisi wanaume ukifanikiwa kumwona jambazi kupitia kwenye tundu usiku wa manane basi huwezi mwogopa tena!

Tundu lipi mkuu?
 
yaani like yangu nitakufa hapohapo
duh...itabidi tumpate msuluhishi hapo maana wagombanao ndo wapatanao....hujawahi kusikia visa vya wadada kuolewa na watu waliokuwa wanawahate sana??
 
happy new year huny. Utaona id yake ila michango yake huoni... Kama ni wa jf utakua umemchukia kwa sababu ya michango, au wewe hata jina anatumia kama pseudo pia ni shida?
nooo ujue mimi jf niliijua siku nyingi sema sikuwa nimejisajili sasa huyo kuna kipindi nilikuwa natafuta job nikaona tangazo nikatuma cv cause alikuwa ametoa email
nilipofika akaniambia eti anataka mapenzi ndo anipe hiyo job kazi yenyewe ya laki tano mpuuuzi kweli.halafu huku anajifanya mstaarabu.
 
Kiukweli na malaika ni mashaidi mimi ni mtu wa upendo sana kwa watu ila kuna mtu humu yaani amenikaa kooni i hate him with all my heart yaani nikiona id yake ,hata mapigo ya moyo yanaongezeka daah yaaani kweli moyo wangu umekaa nae vibaya kabisa
YUPO ONLINE KWA SASA NIMEMUONA MAHALI YAANI NAJISKIA KUZIMIA KABISA
Jamani imeandikwa mpende adui yako.so huna haja ya kumchukia.
 
Smile, hiyo si njema kabisa kwa afya yako! Kama amekukosea, mweleze kosa lake, then wewe inabidi tu umsamehe hata kama hajatambua kosa lake ili nafsi yako ipone.
 
Mama weee bado yupo bado yupo kwaherini nakufa
 
nooo ujue mimi jf niliijua siku nyingi sema sikuwa nimejisajili sasa huyo kuna kipindi nilikuwa natafuta job nikaona tangazo nikatuma cv cause alikuwa ametoa email
nilipofika akaniambia eti anataka mapenzi ndo anipe hiyo job kazi yenyewe ya laki tano mpuuuzi kweli.halafu huku anajifanya mstaarabu.
Basi sahau tu. Kumkatalia ni jibu tosha, umempa ujumbe kua wewe na yeye sio sawa, hamuwezi kuchanganya (I hope you said no). Sasa ukimchukia bado unamrudisha katika maisha yako, una mpa nafasi ya kuusumbua moyo wako. Just ignore him, ukimuona acknoweledge the feeling kwa sekunde alafu endelea na browsing yako.
 
Sometime inatokea unaweza kumchukia mtu... I have no idea why.... lakini nadhani kuna kitu toka kwake..avatar, message etc...kime-trigger hisia za kuchukia...

Lakini.......Kama mtu hawezi ku-dhuru physically..kwa nini ikusumbue? unao uwezo wa asilimia 150% ku-mdelete kwenye mawazo yako! na pia "Ignore list" inaazia kichwani kwako..
 
duh...itabidi tumpate msuluhishi hapo maana wagombanao ndo wapatanao....hujawahi kusikia visa vya wadada kuolewa na watu waliokuwa wanawahate sana??

Mwulize kama anazifahamu dalili za ujauz......................, Inko usinitaje lakini.
 
Back
Top Bottom